Trio Mio Achia Lyrics
Kenyan artist Trio Mio new song in 2023, produced by producer Byron, Kingpheezle mixed and mastered the track. Creative Director: Anthony O Osore. Video edited by: Dir. by Antyvirus.
Achia Lyrics
Achia hii kabla ngoma niliwachia
Na kama inawauma hauskii Kaluma inaweza saidia
We ndo wa kutuma ka haujachangia
Siku hizi ni machupa mavikombe niliwaachia
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
Bizna ni ya kizazi, monkey achia watoto
Mali ni ya mainatenance achia masonko
Cheza size ya kwako we enda ukatiwe na bosco
Hapa unatoboka mfuko ubakie na ngovo
Ambia hao mabombo kambi ya wanoko
Yule anajifanya hajui nimeingia na mwongo
Mziki bila kiki drama naachia madogo
Nadeliver moto kama bhajia za Glovo
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
Kabla stage ipandwe lazma mniachie za macho
Kazi ya kukulea tumeachia mamako
Unataka kuomoka na umekalia matako
Unataka kumonchoka na umekwamia mlango
Dandiwa kwa junction, mangiwa kwa mansion
Jiji ina wadaku weka pazia kwa balcon
Gwanda ni oriji ama bandia za Dando
Hakuna msee anajua ju zinavaliwa na mpango
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia ah ah
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
Achia, achia mabiggie
Mechi imekushinda buda wachia magwiji
Huku ni foreign koro naachia nachizi
Tuna kula nyama mfupa naachia mafisi
FAQs about “Achia”
Who Produced Achia?
The song Achia was produced by Byron who is a Kenyan producer
Who directed “Achia”?
The song Achia by Trio Mio was directed by Antyvirus
it’s helpful
kazi n poa
endelea ivo bro