Vanillah feat Ibraah – Hakunaga
Check out “Hakunaga” lyrics by Vanillah featuring Ibraah on Kelxfy.
Hakunaga Lyrics
Nimegundua mapenzi bila pesa
Kumbe raha hakunaga
Nimegundua maisha bila kutesa
Kumbe raha hakunaga
Binti hata ujitunze vizuri
Ujipambe kwa uturi
Kama shozi huwezi ndoa, hakunaga
Hata uhitimu skuli
Na ufaulu vizuri
Bila mganga mzuri kazi hakunaga
Hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri, hakunaga
Hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri, hakunaga
Siku hizi mjini mapenzi pesa
Ati nikupende uje kunitesa
Izo hakuna, hakuna, hakunaga
Kwetu walevi wanaiheshimu pesa
Mambo ya ulevi uje ugonge kunesa
Izo hakuna, hakuna, hakunaga
Oya tafuta chako
Anayekujua – ni ndugu yako
Huku cha bure, hakuna
Ata cha kumumunya
Oya michepuko wako
Shida ukitafuta mpenzi wako
Wa peke yako hakuna
Hakuna, hakunaga
Oya we hakunaga, hakunaga
Kuishi raha vizuri, hakunaga
Ukae na dada yako pisi ya ukweli
Usipate temeke, hili, hakunaga