Zuchu – Nimechoka Lyrics
Check out “Nimechoka” lyrics by Zuchu on Kelxfy.
Nimechoka Lyrics
Lalalala, lalalala
Oooh (Mr LG)
Mi ningeingia kumbukumbu
Mbaya kwenye penzi lako
Siwezi rudi ata unishikie bakora
Nami na kwa machungu
Umenitendea vibaya mi mwana mwenzako
Kwa makusudi furaha umenipora
Ah..ahsante umenifunza
Nionapo lia mbili nichague yako vuli
Mimi, mi sio wa kwanza kuumizwa
Wanatendwa matajiri sembuse mie wa sufuri
Na wanakujua kwa kumsingizia shetwani
Huyo ni wewe, ni wewe ni wewe
Ukinikumbuka usinijipigishe U-turn
Uniache mwenyewe, mwenyewe niache
Nimechoka, nimechoka,nimechoka
Nimechoka basi
Nimechoka, nimechoka,nimechoka
Nimechoka basi