Wakadinali – Maproso Lyrics ft. Suzanna Owiyo
Check out “Maproso” lyrics by Wakadinali featuring Suzanna Owiyo on Kelxfy.
Maproso Lyrics
Dillie! (Big beats Afriq)
Na kwani mi najuta
Balaa gani iliyonikumba mimi
Nilikuwa naye mchumba wangu aliyeitwa Maproso
Nilimuahidi ndoa ya kifahari
Mapumziko yetu yangekuweko Mombatha
Kama ni manyumba na magari ningempa
Ila siku ya harusi, Maproso kanitoroka
Kaniibia hela na vifaa vyenye dhamana
Nikapigwa butwaa, moyo ukanifunguka
Oooh Maproso
Mbona umeamua kunifanyia hivi mamaa
Mbona umeamua kuniua mi mapemaa
Nilikupenda sana moyoni wewe wajua
Ukapigwa butwaa, moyo ukanifunguka
Hera oduar koko
Hera oduara chaye
Hera duaro kuey
Hera duaro kuey
Hera oduar koko
Hera oduara chaye
Hera duaro kuey
Hera duaro kuey
Kesho itakam na nini
Now that uliniachia mkidi?
Nilijuanga we ni mthigithi
But sikudhani itawai kuwa ivi
Mkono stingy haijawahi kuwa mimi, na joh sipendangi vipindi
Kwa kikao ni vitimbi
Na ulikuwa ukiitwa hauitiki
In the beginning
God created Eve to deceive me
Companion sipingi
Na ka ni biz ni dingli
Pay bill yako si mimi
Na ujiekee hizo risiti
Trees zinanicallingi
Na ni ka nitaongeza wa pili
Siku hizi nanyonga neck ya whisky
Huskii nachapa ndom na haishiki, yo
Nakam home sipiki, of course joh sidishi
Zamani ulikuwa mclingy
Sai ni ningi ningi ningi
Mapenzi duaro respect (respect)
Mapenzi duaro assurance (assurance)
Mapenzi duaro endurance (endurance)
Hera, hera engi maber
Kwani hujui, niko harakati ya shughuli
Mi nangoja maembe iive
Hao wanaikula mbichi na chumvi
Hashiki simu zako chali yake wa Saudi amerudi
Siamini shida zako zote ni ju ya dem ana duri
Ah, situvai mangwai, anadai nimbuy-ie buy-ie
Sijai mtoa ngotha walai bilai
Labda ikiwaga kwa hanging line
Mambo ya magoshodo sidai
Niliamua bolingo ni ya ngai
Nikiwa na wewe natumia maganji
Pesa inabaki ma zero baadaye
Ah, aliclick na clique
Ni mi nilimtoa kwa street
Picnic tulitake mapics
Mpaka wakadai Scar de anasimp
Jumper ya Rong Rende ya pink
Yawa setere trips
Kinembe, keja istink
Sikujua denge angeflip
Hera oduar koko
Hera oduara chaye
Hera duaro kuey
Hera duaro kuey
Hera oduar koko
Hera oduara chaye
Hera duaro kuey
Hera duaro kuey
Na kwani mi najuta
Balaa gani iliyonikumba mimi
Nilikuwa naye mchumba wangu aliyeitwa Maproso
Nilimuahidi ndoa ya kifahari
Mapumziko yetu yangekuweko Mombatha
Kama ni manyumba na magari ningempa
Ila siku ya harusi, Maproso kanitoroka
Kaniibia hela na vifaa vyenye dhamana
Nikapigwa butwa, moyo ukanifunguka
Oooh Maproso, mbona umeamua
Kunifanyia hivi mamaa