YBW Smith – Pop Like This 3 (Mwaki) Lyrics
Check out “Pop Like This 3 (Mwaki) lyrics by YBW Smith on Kelxfy. “Mwaki” is a Kikuyu word that means fire. In the song, YBW Smith sings about a certain girl who is very cute and loving, but the only challenge getting her is her strict parents. He still assures his love for her despite the challenges.
Pop Like This 3 (Mwaki) Lyrics
Eeey, Krrt Krrt, skiza!
Mamake ni mwaki anatuingilia kati
Babake ni mrazi anadai hatutaki
Lakini goshodo mwenyewe anapenda kutuzaski
Si tumetoana mbali, na brathake ni arif
Mamake ni mwaki anatuingilia kati
Babake ni mrazi anadai hatutaki
Lakini goshodo mwenyewe anapenda kutuzaski
Si tumetoana mbali, na brathake ni arif
Ukianza kurusha lugha ndo utajua ni kipindi
Dem ni mhuge kumbe dem ni pikini
Wacha nipige stori yangu bana inabidi
Tebu turelax cheki ilianza ivi..
Tangu hizo madumba
Huezi tutishia tunajua umetumwa
Magoshodo ni wengi tunaletanga kwa nyumba
Chunga ukicheza tunalete mali mpya
Huku tukijam tunashukisha machura
Gals on a mission tuko rada ya madumba
Uchekeche kichele ju mwingine anakuja
Not that tiny, tunapenda vitu kubwa
Dem hana pupa heshima kwa mabuda
Afadhali ule ex ana rada ya kujituma
Dem mali safi na amebeba kukushinda
Kuzoza hadi Som hawa sonjo wanajipa
Nimeroga vitu kali mpaka mwenyewe nashindwa
Lakini kwa hii game wako daro
Mi ndio teacher
Nawapeleka na rada wakishindwa nawapita
Ndabaki kuwa addi ticha
Mamake ni mwaki anatuingilia kati
Babake ni mrazi anadai hatutaki
Lakini goshodo mwenyewe anapenda kutuzaski
Si tumetoana mbali, na brathake ni arif
Mamake ni mwaki anatuingilia kati
Babake ni mrazi anadai hatutaki
Lakini goshodo mwenyewe anapenda kutuzaski
Si tumetoana mbali, na brathake ni arif