Sean MMG – Now You Know (Umeniknow) Lyrics ft. YBW Smith
Check out “Now You Know (Umeniknow)” lyrics by Sean MMG featuring YBW Smith, Lil Maina & Danski on Kelxfy. “Now You Know” is an arbantone song trending on Tiktok.
Now You Know (Umeniknow) Lyrics
Skiza Magi Magi
Skiza Magi Magi
Skiza uh
Na ka una rada basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka una copy basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka hukujua basi sai umenikow
Umeni umeni umeni…umeniknow
(Now you know, know you know…)
Where you at nigga
Niko na form now you know
Ju manze nimejipin mandom
Sai niko na doh, this ladies wana-go
Ju before walikuwa wanasema nawabonya
But before ni macalls zimejaa
Calls logs inbox na requests, zote ni watoto
Nimekupin, ukikuja kuja na watoto
Nimekupin, ukikuja usikuje ukiwa solo
Uh niko kwa keja nikihang
Na mabuddies and bandits
Buda hatubagui ati ya nani ndio nani
Na kama doba inaeza feel niko lucky
Mob ties ninazo uliza hadi chuckies
Ati straight to the facts
Kwa hii rap nita (Nitabonga)
Na bado numbling analia niki (Songa)
Mpoa kando yangu anajua mi ndio donga
Alisema nikishit ndio nitazidi kuwa (Ngonga)
Akiwa njaa kila saa ni minyoo (Now you know)
Hakuna rada manze form ishaniboo (Now you know)
I really love you ata ka nina-ignore
Now you, now you, now you, now you know
Na ka una rada basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka una copy basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka hukujua basi sai umenikow
Umeni umeni umeni…umeniknow
(Now you know, know you know…)
Na utafika kama zako zimeshika
Ju ukisema ukweli huku ndani wanachachisha
Mbogi ni mbaya watu 5 nawakilisha
Ati na-misbehave then ni leo nachoma picha
Cheki!
Call polis, ngori kubwa manzi yake ako missing
Totally nacheza chini ju alikuwa na mimi
Kejani, nale akiniita ananiitanga meeting
Carefully natoka mbio ata kuliko mwizi
Hakuna kucheza chini because you all know
Mokoro anachachisha nachoma photo
Na mi niko kwa stu’ nadeal na hio flow
Niko na Motif, so now you all know
Niko na balls nigga
Ganji nazichase buda niite Tom nigga
Kwenye rap manze sisi ndio matop figures
Cheki nyuma kwanza, this is how we roll nigga
Ju sisi ndio ma don nigga
Nimekuja na mabuddies walami
Zimeshika sana napigia wazazi
Niko locked manze nishakuwa mnati
We ni mwere unashinda na wazazi
Na ka una rada basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka una copy basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka hukujua basi sai umenikow
Umeni umeni umeni…umeniknow
(Now you know, know you know…)
Na ka una rada basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka una copy basi sai umeniknow
(Now you know)
Na ka hukujua basi sai umenikow
Umeni umeni umeni…umeniknow
(Now you know, know you know…)
Now You Know TikTok Dance Challenge
Check out the “Now You Know TIktok” dance challenge below. Learn the “Now You Know” TikTok dance routine and have fun dancing with friends.
“Now You Know (UnaniKnow)” song review
“Now You Know” started trending on Tiktok whan Sean MMG posted a short clip dancing to the song. The song has now gone viral on social media. Sean MMG is joined by fellow arbantone artists YBW Smith, Lil Maina and Danski.