Usiniadvise Lyrics – Kappy ft. Tipsy Gee x Gody Tennor
Check out “Usiniadvise” lyrics by Kappy featuring Tipsy Gee and Gody Tennor on Kelxfy. “Usiniadvise” is an abantone anthem produced by Soundkraft who is also considered to be the pioneer of the abantone sound.
Usiniadvise Lyrics
Tushaprove hii ni skill haina wengi
Tumeshatoshea kuwabless na banger
Hii ni best ku adress mahater
Tumeshine wasichoke waendelee kunyesha
Ka ni true huwa hatufichi na make up
Ni cleansheet bars na ni pen na paper
Aii skia hii mi nafeel kuteta
Ni 2 in one Goat tunakill vibetter
Mi usini-advise, usini-advise
Mi usini-advise, mi usini advise
Usini advise, mi usini-advise
Mi usiniadvise
Pereka mushene huko sina time we kanyaga
Mi usini-advise
Lazima nipige sherehe before bana nizeeke
Sherehe siku hizi issa must
Si ni GenZ tunafikanga wa first
Hatuwezi miss, si unajua hio ni fact
Mbona una act ni ka wewe ni wa past
Leta kinare nikusetie kifuaka
Kuna kimorio kinajifanya hakiezi waka
Hawa mafala kuna siku nitawachapa
Wacha zinice ndo nipunguze madrama
Mi usini-advise, usini-advise
Mi usini-advise, mi usini advise
Usini advise, mi usini-advise
Mi usiniadvise
Pereka mushene huko sina time we kanyaga
Mi usini-advise
Lazima nipige sherehe before bana nizeeke
Buda nimenyam nyam mpoa wako kibad man
Nimesema nyam nyam sijasema nyam
Na si once na si twice kitu kama mara das
Ilikuwa tam tam my first
But sasa usini advice
Si ndo yangu verse, kumi na mbili bars
Ka ni das unalipa cash ju usije ukanireverse
Ju nitacurse na nitapiga bars
Kwa wangu my third, sa utalove eeh (Usini advise)
Mi usini-advise, usini-advise
Mi usini-advise, mi usini advise
Usini advise, mi usini-advise
Mi usiniadvise
Pereka mushene huko sina time we kanyaga
Mi usini-advise
Lazima nipige sherehe before bana nizeeke
Mi usiniadvise
Pereka mushene huko sina time we kanyaga
Mi usini-advise
Lazima nipige sherehe before bana nizeeke