Esther Lyrics – Mr. Tee ft. Gody Tennor, Spoiler & SoundKraft
Check out “Esther” lyrics by Mr. Tee featuring Gody Tennor, Spoiler 4T3 and SoundKraft on Kelxfy.
Esther Lyrics
Alooo, Gody Tennor Asapaa
4,4,4 403,403
Wooosah, Serenity huh
Skia hii uh
Namshow lazima nitaitap tap tap
Ka hukuwa kanoma ni ka bad girl girl
We jua lazima nitaiclap
Lazima nitaimunch, lazima nitaicha cha pa
Niko na, niko na (Like a Boss)
Aloo, ni Asaperoo, asapa
Mi huwaga badboy, chini ya maji kidesign
Gengetrue, gengelivity ni tamu
Na leo niko kejani, basi we kamu
Pengting huwanga umeninice
Aiii ukismile mi nafeel shy
Ka ni kusimp mi siwezi deny
Ju nimesimp, adi nashindwa rada ni gani
Aii, hardwork adi wamama wananinoki
Wanashindwa natoanga wapi hizi manoti
Kijana oldies na sijafika fourty
Vitu zingine buda zinafaa kuchezwa lowkey
Namshow lazima nitaitap tap tap
Ka hukuwa kanoma ni ka bad girl girl
We jua lazima nitaiclap
Lazima nitaimunch, lazima nitaicha cha pa
Niko na, niko na (Like a Boss)
Namshow lazima nitaitap tap tap
Ka hukuwa kanoma ni ka bad girl girl
We jua lazima nitaiclap
Lazima nitaimunch, lazima nitaicha cha pa
Niko na, niko na…
Niko na Esther kila wiki yoh
Ni kabaya kwenye dancefloor
Esther ni ma quickie yoh
Ye hupenda kunitolea maform, ey
Mi niko high, utadhani mi ni ndege
Buda mi napenda punani na sembe
Ako na pete na amemea pembe
Manzi akinicheki anashikwa na kiwewe
- kamedance –
Manzi amebeba unacheki akitwerk
Mi nasaka mukuchu, mi nadai ku-earn
Style ni deadly manzi anadai ku-learn
Go pato, mode akinicheki darasani anafanto
Buda si unacheki mi nacheza tu na patco
Nilianza kuzoza tangu enzi tu za bano
All over America
Ni wa Baringo na hananga maringo
Ni msimple anakulanga Ringoz
Ananibamba anapenda mastingo
Ten out of 10, huyo manzi ako na dimpoz
Ati ni kamverified, huh ka very fine
Ka poa mali fisa yaani ka fine wine
Niki, nikikadigi mi huskia ni ka niko high
Namshow lazima nitap before nikafanye mine
Najua anang’am mi ni -, hii love jo ni lowkey
Na before nicuff lazima niconfirm na mbogi
Ka Bobo rasta kanapenda mamoshi
Twende hivi Like a Boss nikakuonyeshe mbogi
Niko na Esther kila wiki yoh
Ni kabaya kwenye dancefloor
Esther ni ma quickie yoh
Ye hupenda kunitolea maform
Niko na Esther kila wiki yoh
Ni kabaya kwenye dancefloor
Esther ni ma quickie yoh
Ye hupenda kunitolea maform, ey