Rayvanny ft. Harmonize – Sensema Lyrics

Check out Sensema lyrics by Rayvanny featuring Harmonize on Kelxfy. “Sensema” is an Amapiano song which is all about feel good vibes. The song is special as marks as the first collaboration between Harmonize and Rayvanny after leaving Wasafi Records squashing beef.
Sensema Lyrics
Ayee iyaa yayee yayaaa
Ayee iyaa yayee yayaaa
(Yao yao)
Ayee iyaa yayee yayaaa
(Chui)
Ayee iyaa yayee yayaaa
(Konde Boy call me number one)
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
We DJ, ongeza sauti kudadeki
Niko na shemeji yako
Nyuma kama pick-up imepigwa jeki
Yaani we DJ
Ongeza sauti kudadeki
Afu tuzimie taa!
Tushike viuno vyenye sketi
Eeeh!
Hakunanga mwaisa mshamba
(Hakunaga mwaisa mshamba)
Kazi kazi macho kwa mikwanja
(Kazi kazi macho kwa mikwanja)
Eeh! Bwana asifiwe (Amen)
Milele na milele (Amen)
Shetani akipita
(Teke teke teke kule)
Bwana asifiwe (Amen)
Milele na milele (Amen)
Shetani akipita
(Teke teke teke kule)
Ukipendwa (Safi)
Ukiachwa (Mbaya iyo)
Ukipata noti (Safi)
Ukifilisika (Mbaya iyo)
Aah mikopo (Safi)
Ila kulipa (Mbaya iyo)
Eeh kuchiti (Safi)
Ukifumaniwa (Mbaya ito)
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Konde Boy call me number one
Bomboclaaaaaat!!!
Oh my gosh
Mbona kama ndani hapatoshi
Mitungi changanya mimoshi
Konde kadondoka na Posh
Hamjasema mpaka mseme
Na mtasema
Hamjasema mpaka mseme
Na mtasema
Bwana asifiwe (Amen)
Milele na milele (Amen)
Ex akipita
(Teke teke teke kule)
Bwana asifiwe (Amen)
Milele na milele
Mange Kimambi akipita
(Teke teke teke kule)
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwanguyopa chalidu chilaa
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguyopa chalidu chilaa
Wazee wa kuchati (Safi)
Ila ukiwa umelea (Mbaya iyoo)
Kila babe unapenda gongo (Safi)
Ila likipakazwa mkongo (Mbaya iyoo)
Hakuna mmakonde mshamba
(Hakuna mmakonde mshamba)
Kazi kazi macho kwa mkwanja
(Kazi kazi macho kwa mikwanja)
Hakuna mmachinga mshamba
(Hakuna mmachinga mshamba)
Kazi kazi macho kwa mkwanja
(Kazi kazi macho kwa mikwanja
Jeshiii
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Sensema malunde sensema, sensemaaa
Amamamapiano eeh, piano
Amamamapiano eeh, piano
Amamamapiano eeh, piano
Amamamapiano aaaiii, piano
Eeh!
(The Mix Killer)