Zuchu Napambana Lyrics
Read Zuchu new song “Napambana” lyrics on Kelxfy.
Napambana Lyrics
Naamka asubuhi sina hata buku sh dala
Chakukila sijui bora hata pa kulala
Chumbani matandabui mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
Eh kwachakwacha nakwenda nakwenda
Sijakubali kudonda hii ngoma haisambi
Na ndoto za alinacha sijapenda sijapenda
Aliyekupa kigoda mi atanipa kumbi
Eh nipate nitoke patupu
Kawaidaa iyo
Siku nzima niambulie buku
Ndo ya kwangu sijaiba iyo
Usiniulize naishije mjini, (Napambana)
Niokote machupa niuze siso (Napambana)
Ata nikidanga jamani acheni (Napambana)
Niwe kondakta ubungo migo migo (Napambana)
Haa eeh iiih (Napambana)
Aaah eeh ooh (Napambana)
Mama mkubwa lemkuu, Khadija Kopa
Boss dela boss, mama Dangote
Maji ya mdimu, maji ya mdimu
Saga saga saga saga
Eh Eh, Mungu wangu baba baba baba
Ziitikie dua zetu waja
Tupate magari sita nane saba
Tuvae Guchi, Fendi na mi Prada
Wewe acha kumbwela Mungu habagui
Anawapa hadi ngedere
Wewe, wewe tafuta hela (mchawi hela)
Wanaokudharau watakuheshimu mbele
Eh nipate nitoke patupu
Kawaidaa iyo
Siku nzima niambulie buku
Ndo ya kwangu sijaiba iyo
Usiniulize naishije mjini, (Napambana)
Niokote machupa niuze siso (Napambana)
Ata nikidanga jamani acheni (Napambana)
Niwe kondakta ubungo migo migo (Napambana)
Haa eeh iiih (Napambana)
Aaah eeh ooh (Napambana)
Mikono juu, mikono juu, mikono juu
Wapambanaji mikono juu, mikono juu, mikono juu
Asa usimcheke aliyeshindia chungwa
(Alie kula kalaa)
We wa biriani shibe ile ile (Alie kula balaa)
Maharagwe robo ugali kilo kumi (Alie kula balaa)
Eti kula pizza, burger shibe ile ile (Alie kula balaa)
Mama alie kula kala (Alie kula balaa)
Aah alie kula kala (Alie kula balaa)
(Kwa Mix Lizer)