Fathermoh ft Ssaru Kaskie Vibaya Lyrics
Black Market Records artist Fathermoh has released “Kaskie Vibaya” featuring Ssaru. Check out “Kaskie Vibaya” lyrics on Kelxfy. “Kaskie Vibaya” is a Swahili word that means “go feel bad“. The song talks about deep issues that happen in the modern society
Kaskie Vibaya Lyrics
Ati chemi chemi za uongo
Stori za jaba ndo utingize ubongo
Ndo ubebe ka wale tingiza kamongo
Bari bari, bara bara apana maringo (ringo)
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (Kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Ah, nilifika jiji nikakutana na budako
Akaniambia ka ni vako hapendagi za mamako
Kisirisiri tukakutana kwako
Ni click click bang juu ya kitanda chako
Hamna, hela ni nyi mnataseka nyinyi
Unalipa madeni na pochi yako
Miaka ni ishirini huko chini sitini
Na mneti unatuvunjia mgongo
Ulinipaga chance na nikapitaga nako
Uliponipiga intro siku ya introduction
Ananifinance na school fees zako
Alinipeanga info kwanza ye si babako
Unapenda wababa huonei watoto wako huruma
One shot! Na kwani hupendi utamu wa nduma
Pesa hukutekenya tekenya sana
We rudi ukakune wababa wa Duruma
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (Kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Najua unaskia vibaya (Mi vibaya?)
Eeeh vibaya (Nenda zako)
Si naenda kwenyu (Kwetu wapi?)
Kwa babako (Mi sikutusi lakini kudadadeki)
Sikudharau lakini we hudunga ndula feki
Uso marangi uko sure hauniseti
Cake and Beki ni quality za Fenty
Niko na pesa kushinda babako
Kaskie vibaya huko kwenu (Kaskie kaskie)
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Niko na pesa na ni za babako
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie vibaya huko kwenu
Kaskie Vibaya meaning
Kaskie Vibaya is a trending word in Kenya. The word came to the limelight when the phrase “kaskie vibaya uko” became famous. “Kaskie Vibaya” means go feel bad. It is used to express dissatisfaction with something.
One Comment