Nyashinski – Tai Chi Lyrics

Check out Nyashinski’s “Tai Chi” lyrics on Kelxfy. “Tai Chi” is a feel-good song released by Nyashinski after joining the Sony record label.
Tai Chi Lyrics
Uko kwa traffic bila AC
Unascroll tu ma lele IG
Niko na bedsitter uko kwa bedsitter
Sku izi sura yenyewe ID
Naeza drive gari mkebe na steeze
Naishi side ya njeve na trees
Namkanga saa najiskia
Na navaa tai ka najiskia
Luku safi juu standards
Hood safi, mood lover
Nakeep time to keep turner
Na namake sure unacome fast good manners
Good heavens alafu good riddance
Nakuguarante utanimiss (Wewe)
Nakuguarantee utanimiss
Utanimiss ukishajua mbona wote
Wananiita master ama daddie
Nilizaliwa Nai
Izi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Kama tai chi, kama Tai chi
Ikidrop hawaezi kwara
Wanairukia ka imetupwa nyara
Ukiangalia unaona tu msafara
Ka siafu na izo tu ni dallas
Nahesabu bila hitilafu
Bila wasi bila curfew
Najituma navuna
Kama kuna waks ya kuskuma naskuma
Izi streets hazitakangi madwanzi
Kuna jam ya watu wanasaka ganji
Na mayuts wanawasha tu mabangi
Kulalia masikio hatutakangi
Mascammer hutarget watu wa muchatha brother
Hapa kaa rada
Utadhania ni get rich quick
Kumbe zimedissappear ki abrakadabra
Wananiita master ama daddie
Nilizaliwa Nai
Izi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Kama tai chi, kama Tai chi
Wananiita master ama my G
Na hawanisaidii
Izi streets jina yangu ID
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Inagonga kutoka far kama tai chi
Kama tai chi, kama Tai chi