Denge Dingo Lyrics: Domani Munga ft. Toxic Lyrikali & Mr Frank White

Check out “Denge Dingo” lyrics by Domani Munga (Wakadinali) featuring Toxic Lyrikali and Mr Frank White on Kelxfy.com. “Denge” is a Sheng word that means a girl, while “Dingo” is a Sheng word that means a thief. I have also shared the song review.
Denge Dingo Lyrics
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Put your guard down, watu wanabaha chuna madawa
Iba nyota chuna majani kuku mabawa
Aha-aha leave alone wakulipwa wakigawa
Na nilikuwa na assosiate tukeki sai tuna mabawa
Piga dhafu hizi ni zing
Keche zangu zinararu
Vile nina degree niko na kama degree tatu
Vamos, niko na app ya kuuza geneza online
Na zote ziko kwa kadus
Cheat cheat! usiniaribie moodi
Unaeza aje piga hadi njapi ndani ya hoodie
Toa hizo cladi nione goodies
Hmmm!Imagine alisema ni baddie plus foodie
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Nilieka doh kwa meza intetionally
Avuke nazo asione bravy
Shingo imejaa muscle niudoz na mali
Rahisi kumtrace ju silali mbali
Tayari ako na maparma za sanka
Ni ati alafu kumgeuza mama perma
Exile si Dala ye hujichakanga Kianda
Na dress inawanyoa, kwa face ka Rihanna
Hmmm! Lazima utazama
Kwanza before ya mechi aliwasha ki-durban
Jirani na ufala, tukiangia alituona
Nikitokwa Bravia alilala
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Din-da-din-da, my gwand-a na mira
Simu umezima, my catelina
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Usingizi after mechi haitaki denge dingo
Yoh najifanya nimezima but namchungulia
Kashanitepa vitu sijaitumia
Namuuliza rada gani can we cuddle up
Anauliza rada kwani, kwani hutaki kula nyap?
Kashaniwai na hapo mambo vulai
Nilimpick Githu Uncle Sam na kirai
Ati wapi? Eeh nilimpick Githurai
Nimekushow mara ngapi rada chafu utaumia
Lakini alikuwa ameiva figa nayo mama mia
Next time uache ufala, next time fikiria
Rada chafu, bro si uniekee ata ka mia
Nimepaka na iko mbaya leo unaeza angamia

One Comment