Rengwa Lyrics- Trio Mio ft. Fathermoh & Zzero Sufuri
Check out “Rengwa” lyrics by Trio Mio featuring Fathermoh and Zzero Sufuri on Kelxfy. “Rengwa” is a sheng word that means morning.
Rengwa Lyrics
Vic twende
Yo yo, uh huh
Zzero, very nice
Kama sos mi ndio sos mi ndio boss mi ndio
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast hadi rengwa
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze
Sheesha mi nadai kuivuta hadi rengwa
Haudai boy maskini
Na nginyo unalia unadai hadi rengwa
Bash imekrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria hadi rengwa
Zone nakahepesha na makwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke hadi rengwa
Tunalips, nacheza na tits
Kamepiga squats kako na bunda legit
Uh, ratio ya waist nalinganisha na hips
Juu ni kasnack nakadimbuka na D
Fine thank you, hii ni mali ndechu
Ulizaliwa ukisneeze and the universe blessed you
Face card spot on, ka mi nikiwa up bottom
Makucha ni ma stick-ons, kibeti ni ya stoko
Na tunaziwasha
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast hadi rengwa
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze
Sheesha mi nadai kuivuta hadi rengwa
Haudai boy maskini
Na nginyo unalia unadai hadi rengwa
Bash imekrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria hadi rengwa
Zone nakahepesha na makwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke hadi rengwa
Rengwa ndo mi hurealize siko kwangu
Nilichotwa na dem anakaa managu waru
Cheki amenichai (amenichai!), huku Dando
Mbona sikucheki hizo braids color purple
Rengwa mi hurausha, rengwa nakausha
Rengwa mi nazamisha, lazima mashamsham
Poa, Emoji za maji zina- poa
Sijamshika asha- poa
Na father akibonga (poa)
Kanazoza hadi rengwa
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast hadi rengwa
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze
Sheesha mi nadai kuivuta hadi rengwa
Haudai boy maskini
Na nginyo unalia unadai hadi rengwa
Bash imekrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria hadi rengwa
Zone nakahepesha na makwela wamejitepa
Na wanasema watabaki zilipuke hadi rengwa
Hizi vitu tunado si the god kwa nini
Tunaeza trend tena, hadi rengwa
Sina warena ndio indoors waren
Katafuteni mishale tutabuy ingine rengwa
Hauna form unajengwa mapema
Sikunywi leo kitu yoyote iko chini ya tenga
Hapo unazima unazimia kwa meza
Hii ni Azimio uliza Maina wa Njenga
Bado mi narep Kawarengwa
Kaa hujawai ishiwa na matawi hujui vile kuuenda
Ukiona mi nakesha nimejengwa
Nimejipanga na matools za hadi kesho rengwa
Vile unajibeba ndo utabebwa
Ka we ni mjanja unajua vile utajitenga
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain very fast hadi rengwa
Rengwa, wada na masteam hadi rengwa
Gwethe zimeshika na sitemi ni mapema
Nduku si ikidim si unasema
Ingine inaenda chain, inaenda chain
Aluta irudi na izoze
Sheesha mi nadai kuivuta hadi rengwa
Haudai boy maskini
Na nginyo unalia unadai hadi rengwa
Bash imekrome na mamzinga na mavela
Na ketepa majani tunajinyuria hadi rengwa
Badness!