Ranzscooby – Tic Tac Lyrics

Read “Tic Tac” lyrics by Kenyan dancehall artist Ranzscooby. Ranzscooby rose to fame in 2023 after trending on TikTok. The catchy phrase “Unatic tac, unatic tac nini” means why are you dancing? while you don’t have what it takes.
Tic Tac Lyrics
(Yoh Yoh Yoh, easy bad walai toa form)
First of all niko class, niko class four
Baby girl anadai niwashe ndom
Siezi bonga fiti juu mi hukua don
Hizi end wanatry kunitransform
Niko club na my guy tunapass form
Na magirlie wamevaa, wamevaa thong
Stori gani walai siezi pass ndom
Niko church na my guy mi ndio fatherndom
Kikipini walai nina figure long
Unajua maisaa ninafika home
Siwezi banja mtaa mi ndio fatherson
Hizi streets si unajua mi ndio malegoon
Ukibanja nanii unapigwa boom
Ka ni hepi my guy itajipa soon
Usiworry na life itajipa noon
Punctuation kwa life no matter goon
Ni wikendi walai zimefika moon
Na madiva wamekrome nimepiga zoom
Usizime my guy si unajua rules
Tunakata walai hadi ifike noon
Ka ni ndom unataka unacall Kush
Hizi end tunataka madem boom
Wamejaza design ya macaltoon
Ni wapoa wanapenda ma tycoon
Akijipa my guy unacheza pool
Ndo akibend unagrab unatap good
Easy girl wanapenda early bad goon
Ka ni life tunapenda money first good
Alijam akapata bad love good
Everything me nadu pray God good
First thing kwa race pray first move
Bad girl anapenda…
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Anataka design ninataka
Baby ananicall anajua nilipata
Kuna vile form mi hujipa na makata
Anadai Gin anadai vitu rapture
Siwezi ongezaga walai nitajipata
Baby unarecall unajua it’s your first time
Hizi vitu gani walai nitakuacha
Bado tunakata na bado anaitisha
Siwezi ongezaga walai nitalipuka
Ile form flani walai ilijipa
Ilikuwa hepi masaa ya saa sita
Dem amejibeba na bado ananishika
Vile anaikata walai baby cool down
Mzinga ya kwanza ya pili na ya tatu
Kumbe baby girl hukuwaga mashini
Alinichocha ndo tufike mjini
Vile anazitoka walai siamini
Nilidhani mpole, mhindi amini
Ashakuwa hoe ka design ya mashini (Mashini)
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Holy ghost fire baby mama she a wicked
Tic tac there you are here for the weekend
Body she a fine like girls on the TikTok
Ulalaaa go down on your tip toe
Girl she a peng she doing like a hippo
Heavy man down when I press on the replay
Give that ting when you pull up on a weekend
Weekend!
Tiktok fail, Insta fail
Hooker fail, my life fail
Re-match fail, money fail
Snapchat fail, exam fail
Tiktok fail, Insta fail
Hooker fail, my life fail
Re-match fail, money fail
Snapchat fail, exam fail
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Una tic tac, una tic tac nini?
Baby huna ass una tic tac nini?
Hizo nini unatic tac nini?
Hii ni ya mahabusu wamebeba scene
Tic tac, tic tac
Una tic tac, una tic tac
FAQS
Who is Ranzscooby?

Ranzscooby is an upcoming dancehall artist from Kenya.
Which song made Ranzscooby famous?
Ranzscooby became famous after his song “Tic Tac” went viral on TikTok in 2023.
What are Ranzscooby’s social media handles?
You can check out Ranzscooby social media handles below.
– Instagram: @ranzscooby
– Tiktok: @ranzcooby
– YouTube: Ranzscooby