Fathermoh Dai Dai lyrics ft Shekina Karen
Dai Dai lyrics by Fathermoh ft Shekina Karen. “Dai Dai” means to love or want someone in sheng. In the song Fathermoh and Shekina Karen express their love in their toxic relationship. The song revolves around a story of two lovebirds who are in a toxic relationship but alcohol is about to ruin their relationship.
Fathermoh Dai Dai lyrics
What time it is ndio unafika home
Nilikuwa kwa Beth (Ati Beth)
Eeeh babe Beth, kwani kuna noma?
Na umelewa? (Sijalewa)
Umelewa? (Mi sijalewa)
Basi niambie perfume gani hunuka harufu ya chrome
Wacha ma issue, bora sijakuomba yaku mochoa
Naeza du vile nadai, si mi hupiga wera poa
I am sick of this I thought utatulia nikikuoa
Nitatulia wapi? Si we ndo uliimba sherehe ni sheria
Aki ya nani nakaa tu Mejja, walai siskii
Niliambiwa na mamorio ule sumbua usimring
Najua stingo za mneti ona nakazama kwa hii shit
Cheki sai unakunywa kuliko ngamia za Isich
Baby umeanza kunitusi? (Eeeh na huwezi kunishow)
Wee umeanza urazi na hauna ganji inaweza tosha kuniplease
Kukuplease aki ya nani sasa umeanza kukuwa mdeep
Unajua pride ya mwanaume hushukia hapo nitakufix
Utanifix ndume suruali ju siku hizi we ni bitch
Unaniita bitch? Eeh bitch usijaribu kuniseal
Hapa kwangu kuingia time umechelewa ni six
Na hapa kwako siko shule baby give me some please
Na mi sikudaidai zii na sikudai dai tena
Time time sina mi nadai dai hela
Kai kai you must be a dumb dumb fella
Dai dai nigga mi ni diehard fella
Ati daidai zii na sikudai dai tena
Time time sina mi nadai dai hela
Oh my you must be a dumb dumb fella
Dai dai nigga mi ni diehard fella
Baby boo I’m sorry I’ll never hit you again
Why you lying you promise to be a man but, ooh
Unajua nakupenda ukora mingi ndio uache
We unafikaganga manane ama juu mi ni mwanamke
But mbona urudi home usiku ka umelewa?
So lazima nipige simu niombe ruhusa ndio nitoke?
Okay okay si tuache vita tukuwe kama the Bahati’s
Kifuniko ya gas ni rahisi kufunua
Si mapenzi ya kina The Wajesus Family
Ndio uanze kunililia hizo vako sidai
Ya Mulamwah (Hio sitaki)
Simba na Zuchu? (Ufiche nani?)
Basi Njugush (We si mfunny)
NA Will Smith?
Na nakushow mi nakudaidai mina nakudai dai tena
Aii aii nigga we ndo my John Cena
Ngai mummy you must be a gorgeous fella
Why lie you are my lifetime killer
Na nakushow mi nakudaidai mina nakudai dai tena
Aii aii nigga we ndo my John Cena
Ngai mummy you must be a gorgeous fella
Why lie you are my lifetime killer