Femi One ft. Boutross – Memories Lyrics
Check out “Memories” lyrics by Femi One featuring Boutross on Kelxfy.
Memories Lyrics
Yeah yeah, wouh wouh wouh
Yeah yeah, yeah yeah ey yeah ey
Nakuvuta vile Fin huvuta Embassy
Ju zimemshika na mangwelo ni za ma kerosene tu
So patient boo, nikuonyeshe si huduu
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Napenda days ulikuwa naingia RaceCourse
Najipata Best Western na ka mbogi ya Escorts
Tangu itrend nililearn hii lesson
We ask stories but usiwai nimention
Ju ni mamemories tu, ni mamemories juu
Kula mahali rental mpaka na pension
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Juu ya nduthi ama ndani kwa benzo
Ju ni mamemories tu, ni mamemories juu
Kula mahali rental mpaka na pension
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Juu ya nduthi ama ndani kwa benzo
Hapa niko na Femi Uno, enhe
Hapa niko na friends mutual
From way back when, from way back then
Hapa naanza ah ah
Zinakanashi, niko zabe na wathii
Lighter — medella, so na hotbox kwa machine
Shot ya gin spirit zinanionyesha magin
Location private, jitume ndo nitume pin
Kula raha, kunywa tembo for digestion
Wacha man atupe lugha apunguze tension
Ka ni sit, ni dust ndo atamunch
Ka ni badboy adishi fiti, mida ya lunch
Kila kitu iko present table manners ndio absent
Zangu ziki ascent nabadilisha accent
Like this a whose man I can’t share
Full bar, counter imeshona ka nonsense ni monday
Ju ni mamemories tu, ni mamemories juu
Kula mahali rental mpaka na pension
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Juu ya nduthi ama ndani kwa benzo
Softlife imenipiga hatrick
Kwa hizo affairs, ingia ki Buju Banton
Iwe real, ikuwe plastic
Bora ukinicheki we kula na macho ey
Kula na macho
Ukibonga fiti unaeza kula na tako
Ni Bouto mitandao na Femi
We ni rafiki, adui ama femeni
Ju ya memories unabaki na deni
Ju ya memories naongeza deni kwa deni
Aura for aura ama mapeni kwa peni
Hunipati mimi nikiketi na Wendy
Ju ni mamemories tu, ni mamemories juu
Kula mahali rental mpaka na pension
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Juu ya nduthi ama ndani kwa benzo
Ju ni mamemories tu, ni mamemories juu
Kula mahali rental mpaka na pension
Ni mamemories tu, ni mamemories ju
Juu ya nduthi ama ndani kwa benz