Freestyle Sessions 5 Lyrics – Young Lunya
Enjoy “Freestyle Sessions 5” lyrics on Kelxfy by Tanzanian artist Young Lunya also known by his nickname Mbuzi.
Freestyle Sessions 5 Lyrics
(Bobo Made it)
Tamba pande zako, pande zetu hautambi
Tamba pande zako, pande zetu hautambi
Kama ulikua hujui hiki kichwa kina mgodi hauwezi tosha
Na hii nafasi hawaipati ndio kwanza ninawanyoosha
Leta undwanzi tukuletee posa
Na bars zinakuja na upako kama ni za mwamposa
Yes nakuacha uninyenyekee unafaa uwe muumini wa kanisa
Unaona hizi lines hazipindi pindi nazipanga na zinapangika
Bobo kapiga mdundo kafanya uwapate wachawi wakitikisa kichwa
Huwezi kuwa mwamba na hit moja za kwangu ziko kama tisa
Baada ya hii nadondoka Ghana nakwenda tuu kuchora tattoo
Wanaojifanya wana moyo safi bado hawajakutana na babuu (Wakifaa)
Hii itawafanya wafumbe midomo utadhani mateja wa Tambuu
Nani hajui kuwa styles za kwao ni famba za kwangu ni chambuu
Flow ni nyingi sana rasta, utakaa sana
Muonekano huna mi mwenzako nimekaa star
Flow zao za siku nyingi yani zimechacha
Acha mchezo na mi mwenzako kuna kiru kichwani hakijakaa sawa
Ifike time dunia ijue ukweli kuwa hamnipendi
Na hilo kwangu hata sio tatizo kwa sababu napendwa na wengi
Njaa ni mbaya na iyo sasa ni moja ya kitu mi ambayo sipendi
Smart sana mpaka nikivua nguo napiga mahesabu kishenzi
Pesa inafanya watoto wadogo ukiwatuma dukani hawarudishi chenji
Siwezi kusahau kipindi mfukoni patup nakosa hata ten Gs
Wewe na shobo alafu shobo na wewe sishangai unavyopenda kutrendi
Wale wanangu wa baba mmoja siwezi kuitambia OMG full stop!
Kwenye hustle pain ipo right
Wote rappers but we are not equal why?
Stimu mpya same kiko
Pisi nazo zipo nyingi natembeza spakoz (Spanking)
Rap ya kwangu na wala sio ya kila mwenye mdomo
Hata punch zangu za kuzihofia kuwa napiga kwenye mshono
Pia watu weny wanaowasifia kwa hili nawafunga mdomo
Level za kwangu nacheza na kobe kwenu nyie ni kono kono
Alafu sasa nachonga na njia ili rappers wengine wawahi masomo
Wanaweza vipi kusikilizia wakati umefika kikomo
Kama biashara yenyewe ya kunga unga promota hausiki na promo
Watoto wazuri wote ni malaika kamuulize Ricardo Momo “Simo”
We mtata au vipi, unawatisha sasa mbona hata hautishi
Ningekuwa uzazi wa mpango ungekuwa hau exist
Sio mbaya unaweza kujiimbia coz hauskiki (Stupid)
Ulizania barua ulioituma nitaijibu
Hapo nikajua kuwa wewe fungu la kukusa na huoni aibu
Chagua moja ukae mbali sana au ukae karibu
Ili utoke inabidi niwepo nafikiri ushapata majibu
Na nyie wengine wote nadhani inabidi mniskize kwa ukaribu
Ukikaa mbaya mi nakutumbua tuu ubaya silei majipu
Ubize unafanya nakesha nikitumbua macho silali usiku
Sie wengine wasikilizaji tuu radio za kina Chibu
Wooooah…. we ukazi sio spana?
Iko wazi niliua challenge ya yes bana
Utandandawazi ndio unafanya tunaishi kwa drama
Sifa nyingi mitandaoni na anaishi kwa mama
Oooh, ndio basi ushakwama
Bando si ni sawa na bure endelea kunitukana
Haunivishi haunitishi huogopeshi mwana
We unatubu si tunacheza na cash rubbers
Sawa vyote tunaita michano ila hii hapa ni next levels
Kabla sijaingia kwenye industry niliusoma mchezo
Naendelea kufanya bomba coz I’m so special
Special kwa kizazi hiki
Na hata kizazi cha bum bap bum bap
Usiombe nikipita kwenye hizi bum bap
Washtue na wenzako mje mjifunze kumbaf
Watajitahidi ila hawatochania bum bap kama mimi nah!
Focus na kibunde stucking on my dreams
Studying on your face na nimegonga timbs
Ying ying tishia hawa watoto zaidi ya crime scenes
Mipango ndio kitu ambacho naongea na brands nyingi
Sio tu kwa rappers ubaya I’m against to everything
Stress kwetu zinachapwa na glass ya Hennessy
Na vichwa vyenyu vibovu vifanyiwe counselling
You sound demo unyama unaofanyika hapa ni masterpiece
Na nilichofanyya huwezi ita diss ni more than diss
Wajumbe wa nyumba kumi wananitambua I run the streets
Ubishi wa nani mkali okay let’s go I like that
Ila hii mic itupwe hakuna ataeweza kuspit on it like this
Sina mshikaji, mshikaji wangu kipaji
Nafanya biashara ya mziki na mtaji wangu hizi kazi
Na maokoto ni shazi, chiki chiki kizazi
Naanzisha ugomvi afu kama sihusiki nakuachia tagi
Boss vagi ni vagi, kichwa kikubwa afu maji
Naimba maisha ninayoishi bro, huwezi ukaita ni bragging
Nahonga sana watoto ila huwezi ukaita ni zaddy
Unaeza ukafanya uchizi wako ila usisingizie bangi
Mi napita kwenye trap mi napita kwenye drill
Mi napita kwenye vibe hata ya bts
Mi napita kwenye njia ambayo we uliambiwa usipite ukapita kwa mistake
Mi napita kwenye beat za ujazo mi napitia kwenye beats za kuturn up bitches
Nishapita kwenye miba, nshafika kwenye bustani
Mnachotaka maua niyanuse
Usiishie kufa I pray to God u go to hell sucker
Ukiingia town kwa kuvamia inakuwa kama vile umeingia chaka
Natokea East ila kusini wameshaanza kunipatapata
I want boy Blxckie, I want K.O wanna go Nasty C on Casper
I wanna go black on Black Bonez
Nataka niende speed ka Busta
Mimi mmoja tuu kati ya hawa milions wanaojiita rappers
Ukiacha kufanana mwanzo wa jina u got nothing else
Wewe ndege ya abiria mimi mthfcking private jet
Kuna kuchoka katika game sometimes ipo
My bad mlidhania nitapotea lakini nipo
Kuna vitu wala haviitaji udhibitisho
Mi namba moja, mi namba mbili, mi namba tatu na ndio mwisho