Big Yasa – Wavy Lyrics
Read “Wavy” lyrics by Big Yasa on Kelxfy. “Wavy Freestyle” is released under the Mad Clan record label. The video was directed by Kenyan video director Sleeze.
Wavy Lyrics
Mangoma wavy
Tunawapea ka Russ Millionz
Hakuna kitu impossible
Tunaeza hit a billion
Ironical venye nyi mnadai kureason
It’s a stepper szn
Tuko up and down tuko mission
Kila nikilala
Naona tu hizi ma vision
Wakinipay mshahara
Nitaisplit that guala
Nyi mnaona wasee ni mafala
Na tuko mboka saa mnalala
What you don’t see you can lie about
Different years, same shit
Different gal same breed
Have been giving us tickets
But this is the first meeting
Mi ni chopboy she is a queen queen
Vitu unasay kweli unaamini
Ama unazisay ndo uniamini
Mpango mzima kamili
Hii mwaka nishike milli
Ningependa mtoi mmoja ama wawili
Na dem mmoja ana akili
Naturn left naturn right
Naona hasidi after hasidi
Naturn left naturn right
Naona hasidi after hasidi
(Mad Clan)
Find more lyrics on Kelxfy.