ThirtyFourBrick – Bankrupt Lyrics
Check out “Bankrupt” lyrics by ThirtyFourBrick on Kelxfy.
Bankrupt Lyrics
Umechochwa na mbogi, umeround ukaganda
Kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
Ule dem ni demon, sai boyz ako bankrupt
Biz bila corruption haidai dai
Umechochwa na mbogi, umeround ukaganda
Kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
Ule dem ni demon, sai boyz ako bankrupt
Biz bila corruption haidai dai
Nishachai, nishachai na deng’a mboi
Na bado mbleina aliwika woi
Na kumbe ni kitoy toy toy toy
Msupa alini-icha na stori mboi
Hio stori aliniicha ni mboi
Ule opp boy anabonga most
Naona umefanya mengi take a toast
We mbati kwa shingo na unaringa man
Mess na mimi nitakufry kwa pan
We ni mwere boy, wacha kubehave ni ka uko na pussy
We ni pussy boy, unadai uko deng’a na ni toy
Chorea mapeng madogo trace size yako
Mi sikuli kwako, usoro peleka kwako
Change the route… na pikni
Ati unani-threaten na hauna deng’a
Acha nicheke
Huu mpoa anadai kunitoka
Lakini ni mjanja anateveva
Low-key anabonga shit of you
And then anadai nyi ni mahomie
Bonga mingi tukutokee ki-headshot (Bow bow)
Wacha ki-foreign hadai malocal shit
Stori zako akidai go take a shit
Unadai mbogi ni dead
Na imechrome mabutty by
Tulia bro mbona unabanja mingi
Unaroll na malocal kicks
Si tunaroll na matimber man
Na ukidai asset manze unafika
Nishachai, nishachai na deng’a mboi
Na bado mbleina aliwika woi
Na kumbe ni kitoy toy toy toy
Msupa alini-icha na stori mboi
Hio stori aliniicha ni mboi
Nishachai, nishachai na deng’a mboi
Na bado mbleina aliwika woi
Na kumbe ni kitoy toy toy toy
Msupa alini-icha na stori mboi
Hio stori aliniicha ni mboi
Mbleina alibuya streets aligeuka mnisa
Mi ni ule gwash nitafanya ukimbie kanisa
Ka kuna ngori uko lembe already nishainusa
Manze uskii sijadoz wiki mzima
Niko pilka pilka za kujisunda sunda
Running from the feds, NFS
You know that’s how a hood nigga get this paper
Manze nafeel lately nimejianika
Nilirau ki-foreign wakababaika
Wakalalamika ati Gwash zima hii
Hii ni heavy sana
Kidungi ndani ya pori pia ni nzito sana
Shosh hunipiga maombi kwa sana sana
So mi na Sue hatujai kosana
Hallelujah Hossana Hossana
Dhigitha mambaru design ya Osama Osama
Try kuni double cross tutakosana
Tutapatana nitakuganda
RIP my nigga Obama
Umechochwa na mbogi, umeround ukaganda
Kazi jo ni kubanja, badala utafte gwala
Ule dem ni demon, sai boyz ako bankrupt
Biz bila corruption haidai dai
Nishachai, nishachai na deng’a mboi
Na bado mbleina aliwika woi
Na kumbe ni kitoy toy toy toy
Msupa alini-icha na stori mboi
Hio stori aliniicha ni mboi