Harmonize “You” lyrics, song review
Harmonize has released new song “You”(I Miss You) directed to his previous lover Kajala Masala. In the song Harmonize candidly expresses his love to Kajala while reminding her of their love. It feels like Harmonize still loves his ex and want her to come back.
This is the second song Harmonize is singing to his previous lover Kajala Masala after his first song “Vibaya”.
In the chorus, harmonize mentions no one is perfect, and he still have dreams that one day he will marry Kajala.
Harmonize – You lyrics
Mmmhmmh mmmh yeah
B Boy on the beat
Mmmh mmh… mmmh yeah
Mikono juu nasurender
Acha dunia ijue mhuni amependa
Wangapi walikuja wakaenda ona ni wewe
Mwenzako nahesabu kalenda
Siku na masaa yanakwenda
Ebu fanya urudi nakupenda
Basi nielewe
Kitaniumbua kifo kifo
Nikiyaficha maradhi
Sikujua before before
Kumpata anayempenda ndo kazi
Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia
Pengine labda utakasikia
Ishara tosha kuwa najutia
Fanya unisamehe ni mambo ya ujana
Moyo unakufa ganzi nikifikiria
Mazito tuliyoyapitia
Yaliyokufanya hutaki hata nisikia
Bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliyekamilika
Hata unayemdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite Sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Ooh baby I miss you
I miss you, I miss you
I miss you, I miss you
Kweli mapenzi hayana ujanja
Hajaligi jina, mkwanja
Yaani nimepita kila kiwanja
Ila nimenasa kwa mtoto wa Masanja
We ni mtu wa Mungu tena mlokole
Yanini app ya Mange?
Wapiga majungu wakina Lokole
Wanaopakaza mi nakula Mange
Naanguka makosa
Tena nipo radhi kutoa posa
Basi fanya urudi malkia
Tuje kuanza tulipoishia
Eh eh waambie mashoga zako si kwa ubaya
Ila mi sipendagi kuongea
Unamsemaje mwenzako bangi mbaya
Kama hujawahi hata mgongea
Hakuna aliyekamilika
Hata unayemdhani malaika
Bado anaweza kuwa shetani
Na ukasema bora mimi
Ndoto yangu bado haijafutika
Naamini siku itafika
Tumwite Sheikh na ubani
Au tufunge ndoa kanisani
Ooh baby I miss you
I miss you, I miss you
I miss you, I miss you
Of course B boy on the beat
Konde Boy call me number one, Bakhresa
It is what it is, babe I want you to come back
It is what it is, babe I want you to come back
Come back baby