Lil Maina – Unapose Lyrics ft. Ajay & Boutross
Check out “Unapose” lyrics by Lil Maina featuring Ajay and Boutross on Kelxfy.
Unapose Lyrics
Kwanza napenda unavyopose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado tujadoz
Sipotezi wakati niko na yoyoyo, wowo
Kwanza napenda unavyopose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado tujadoz
Sipotezi wakati niko na yoyoyo
Wowo wowo wowo wowo
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Na kama uko na beef nitawapatia vegies
Waambie kama battery niko ever ready
Nashika Paka Power mambo yangu wavy
Heavy kweli
Na sidanganyi uko fine mama
Wasikuguze ukijaribu hio ni lawama
Naona chuki pekee huku ndo inawasha na
Mavijana wanataka ati drama-ma
Nipe location nitakwambia tukipatana
Skia, cheki, ati yoh
Nitakupeleka na rada tukilinki
Najua pia unapenda vitu kinki
Hizo ndo tabia unapenda ukiwa machingri
Ni badgal ako na degree
Ameenda chuo rada zake huwezi soma
Manigga wanadai kujua ka nishai gonga
I don’t kiss and tell nilikuwa tu namchoma
Za ex wake hazikuwaga na aroma
Ananijaz, hachoke na hio moshi ni strong
Ananijaz, hachoke na hio kitu ni long
Anadai nimrecord lakini sura nicrop
Venye naishanda mi ni ka King Von
Ananijaz, hachoke na hio moshi ni strong
Ananijaz, hachoke na hio kitu ni long
Anadai nimrecord lakini sura nicrop
Venye naishanda mi ni ka King Von
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Napendaga beef naipiga kiss
Jin ikijitoa utanimiss?
Kitu ni sucrose nice, kitu ni sweet
Piga kitu, speak all night akuwe msick
Ako na discipline ju ako na nini?
Ako na boy flani ako na riz
Ako na mystery yaani mysterious
Ako na boyfriend, na ako na mi
Yeah maanake ati umelate, unadoz?
We nionyeshe ID mi staki jokes
Location private boss
Usikuwe mnosy ju ya hii bash ama nose
Inageuzwa once alafu pose
Ikiturn unalost
Inachanganya the young and the old
The tough and the bold na if you must know
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Venye waka si kawaida
Naeza kuseti, kisensimina
Na unafaya nasau hadi jina
Waitwa nani? Mi bonita
Kwanza napenda unavyopose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado tujadoz
Sipotezi wakati niko na yoyoyo, wowo
Kwanza napenda unavyopose
Cheki mwili yako baby bado unaglow
Niaje unaamka sisi bado tujadoz
Sipotezi wakati niko na yoyoyo
Wowo wowo wowo wowo
(Mmmh, mmmh…)