Lil Maina – Nakam Sai Lyrics ft. Sosa The Prodigy

Read “Nakam Sai” lyrics by Lil Maina featuring Watoto Wakorofi artist, Sosa the Prodigy on Kelxfy. “Nakam Sai” is a Swahili word that means I am coming now. In the song, Lil Maina sings about how he is approaching his favorite entertainment joint and tells his accomplice to wait for him. Also, the song reflects on Lil Maina’s new, profound lifestyle of juggling between school and his music career.
The song beats sample the famous “Dutty Money Riddim” produced by Rvssian in 2009 in the song “Go Go Club” by Vybz Kartel & My Money ( Ha Ha) ft. Merital Family.
Nakam Sai Lyrics
Krrrt krrrt…
Huh huh huh! Don’t mind me
Krrrt krrrt…(Watoto wakorofi)
Stunna!! Uh, skia huh huh huh..
Ati don’t mind me (Kwanini?)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam saii
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini usitoke mi ntakam sai
Na sina ID na bouncer akiuliza
We mshow mi ntacome saii
Ati, nita nita nita nita
Ati ati!
Don’t mind me (Kwanini?)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam saii
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini usitoke mi ntakam sai
Na sina ID na bouncer akiuliza
We mshow mi ntacome saii
Nita nita nita nita…nitacome sai
Colour blind but this year naingia Colours
Na between school na career ni kubalance
Coz I’m the big man, huh! With a big swag
Ningekuwa ndula ningeitwa new balance
Between life ama school,hii career
Btch I made like 4M ngoja sasa this year
Niliomba sauti yangu ikuwe salary ya engineer
Stunna big dawg (Woof) Nikibark waskia
Approach with a caution kama, silencer
Hakuna dem huku nje siwezi, manage her
Na wanaanza kuniita ati, caliber
Shot zangu zote hukuwa loaded niko ndani bruv
Big facts nigga, ma zig zag nigga
Mradi zangu kote kote hautawai nyita
Niko kwa ndege kitu nabeat ni timelapse na jetlag
So I don’t give a fck ah
Ati ati!
Don’t mind me (Kwanini?)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam saii
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini usitoke mi ntakam sai
Na sina ID na bouncer akiuliza
We mshow mi ntacome saii
Nita nita nita nita…nitacome sai
Huku form tu ni mukuchu (Ching ching)
Mimi na Jere tuko juu ya ma bling bling
Doba zetu mbwaya si ndo real deal
Zenu bana ziko chini si ndio kingpin
Chuma ilale ndani ka inafit in
Mama hunipa ganji hio naita pin pin
Konyolo cup bana we drinking
Nimefunga kilemba kama sim sim
Ati unabanja sana kuna venye unanipiss ka mkojo
Powerpuff girl mi ndio mojo jojo
Venye hizi goshodo nazifikisha kwa lodjo
Angalau kam kam form na ikuwe ni kolo
Na niko niko na magoon Embakasi
Tukidhigitha mitambo
Hio haga naidandia kama donda na mlango
Jaba na mix ni za doba za kitambo
Ukibeef kamagera G nje utafumble
Don’t mind me (Kwanini?)
Niko club na mapeng wanataka kunitrace
Usitense mi nakam saii
Ngata inadie, na tenje inadie
Lakini usitoke mi ntakam sai
Na sina ID na bouncer akiuliza
We mshow mi ntacome saii
Nita nita nita nita…nitacome sai