Lil Maina – Sinzia Lyrics ft. Caleb Awiti
Read “Sinzia” lyrics by Lil Maina featuring Caleb Awiti on the Kelxfy blog. “Sinzia” is off Lil Maina’s debut album, “Maisha ya Stunna“.
Sinzia Lyrics
Do you love me, are you sure?
You just let me know
Na kama hauko sure you can let me go
I’m sorry I haven’t seen you
Niko kwa block na bros
I must get this cash
I must get this doh
Do you love me, are you sure?
You just let me know
Na kama hauko sure you can let me go
I’m sorry I haven’t seen you
Niko kwa block na bros
I must get this cash
I must get this doh
Huku ngware mi hu wonder
The love was good tukaanza kukosana
“Where are you?” hizo maswali ndio huanza
Nashindwa kudecide jo ni nani mi nataka
Ju bado mi na ah, ju bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah, bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah
Kila text ushaiona sijawai cap
Afraid of loving ningekuwa text do it the small cap
Venye nilikupata hizi feelings zilispark
Out — from the start began tough love
I’m always pure with my intentions
But when I see you I can see my reflection
Don’t get mad atleast give a correction
Love alafu trust ndo tucheki our potential
Na basi
Huku ngware mi hu wonder
The love was good tukaanza kukosana
“Where are you?” hizo maswali ndio huanza
Nashindwa kudecide jo ni nani mi nataka
Ju bado mi na ah, ju bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah, bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah
Ju Bado mi na ah, bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Nikieka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah
Ju Bado mi na ah, bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Ju Bado mi na ah
Ju Bado mi na ah, bado nasinzia
Na macho yako ukiniona unaskia
Vile nageuka Nameless mimi bado nasinzia
Mimi bado nasinzia
Mimi bado nasinzia
Na hata kama nikisema hauskii baby unapendeza
This is why I was there playboy for life
Hata kama niko box, and I’m calling you nonstop
Lakini utasema it’s the Henessy
It’s not you is me, right
Where is the you and I unity, right
Baby are you listening?
We used to make love in the backseat
We used to get so drunk then we head to the club
Buss it down, fck it up, slow whine one time baby
You know I really wish we—