Mauru Gwash ft. Jovie Jovv – Mapangale Lyrics
Read “Mapangale” lyrics by “Mauru Gwash featuring Jovie Jovv on Kelxfy.
Mapangale Lyrics
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Naingianga booth nikiwa madre
Napita nao kama beats za Dr. Dre
Ni mimi juu ya mbege
Escort anadai nimtegee
Mkidi nimlelee
Nahepa siaka na kasenkee
Maswara ziniondokee
Niko busy nasesa njege
Mi ni fisi nawateka na ma-taste
Kuroga mi ni chizi wana-hate
Mambleina wana copy paste
Ukijaku mbaya nakupea fate
Huwezi ka-relate
Story za ma-gwaash ziwezifade
Nikifika stage mafans assasisinate
Backstage zinalipuka kama Kombora
Mjini Sodom Gomorrah
Izo kiti impeach impeach
Tunataka orezo atalipa hadi Okoa
Beshte ni yut na ako isaa ya kuoa
Kamum si hugongewa
We huenda church ndoa kuombea
Panda mbegu kumbe pastor anakugongea
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapangale, mali nomare
Daily naget hio cake
Pedi no delay
Mapangale, shang na ma fe
Hizi choche dangerous
Usitokee ka una mblein
Niko Fedha, weather ni ya kupata ganji
Adi wa leo biz zangu zote za chini ya maji
Nakinda sukari, kitu safi — wageuka walafi
Ka we mtiaji songa mbali, unanuka mafi
Hata wacompete, hawawezani na mi
Nike on my feet, kila kitu tick
Dem wa kwako amegeuka groupie anadai kipic
Vile Jovie, mkono ya Roro nitageuka prim’
Jovie na Gwash wakishikana hio ni trejaras
Trouble G na 34, you can’t fck with us
Ukicheki klabu VIP please don’t talk to us
You ain’t one of us, na hujapata pass
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!
Mapanga mapanga, mapangale
Mapanga mapanga, mapangale!