Wakadinali – Heartbreaker Lyrics
Check out “Heartbreaker” lyrics by Wakadinali on Kelxfy.
HeartBreaker Lyrics
Wacha wacha, ah
Hii nayo imechacha
Hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka
Hii ni ya kuchoka
Naimechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka
Far East Mowlem hadi Gotta
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
I’m a rong move nitakutepa, ah
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Huh, weeh
Hii nayo imechacha
Hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka
Hii ni ya kuchoka
Naimechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka
Far East Mowlem hadi Gotta
This is the Wuzu effect
Tulikuja kukusalimia
Biz– uko reflected
Yeah tukikuwacha at a critical condition
Pedant inashine bado
Walai izo ni nyege zilikufikisha apo
Sai ndo unaanza we ni amateur
Kumbe ni wewe, ilikuwa nikupige tapo
Ka nimekung’ora jitee
Hii ni kitu iko ka hunipendi jiekee
Vako za mushatha hizo ni ancient
Hatuezi take a break, I was testing your patience
Cheki macho kusorora
Skiza bro, jiji kuna geri inengri za waroro
Kama walikushow wewe ni mnoma
Iza jo siku izi watu wengi ni warongo
Cheki macho kusorora
Skiza bro, jiji kuna geri inengri za waroro
Kama walikushow wewe ni mnoma
Iza jo siku izi watu wengi ni warongo
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Hii nayo imechacha
Hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka
Hii ni ya kuchoka
Naimechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka
Far East Mowlem hadi Gotta
Tangazo Tangazo, chanjo ni ya Polio
Na ka hauko stable achana na pombe
Ka unatuita, make sure umetufollow
–fika nje uongee na kanjo
Usikojoe apo, ile ni loo
Pita jaribu apo chuom
Mi nina soap, we una form
Na unaishi tu Allsops
Under 40, kwa Forbes na huna ata bob
Oh no, just call him more
Am just call him ivo
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Mbona unanishow beshte yangu ni heartbreaker
Hii nayo imechacha
Hii ni ya kuchocha
Hii ni ya kuchoka
Hii ni ya kuchoka
Naimechacha, na inachocha
Hii ni ya kuchoka
Far East Mowlem hadi Gotta
Rain rain go away
Little Scarde wants to play
Si hueka Towel juu ya bed
Chapa ilale, bro uko safe?
Jaba lipua na macomrade
Njaga imetuma na macho red
Mkwanja hakuna nakam so
Gava imekeep chumba ya maconnect
Rende ni rong
Aki ya nani nyi mkitii
And you already know
Nikiona huwa for real
Naikipiga raw mpaka inafika huko kwa-
Nikisakanga doh, najikumbusha
Hakuna mafeelings
Swap inablow bila makosa
Hii ni ya kuchoka, kuchocha kuchota
300gees juu ya mbota
300gees wametosha kukuosha