Mr. Tee – Digii II Lyrics ft. Sosa The Prodigy & O6ixJune
Read “Digii II” lyrics by Mr. Tee featuring Sosa The Prodigy and O6ixJune on Kelxfy. “Digi II” is a remix of the original song “Digi“. The song is trending on TikTok.
Digii II Lyrics
Mi nadai nikudigi nikuseti kwa kiti
Nadai nikudigi uskie fiti
Nataka doba zangu zizoze ka injili
Nizoze mara moja, nizoze mara mbili
Na wapoa niwavue kanchiri
Wapoa wakuje form ka wamedungia mamini
Mpoa ako na tattoo, mpoa ana mpini
Mpoa ana manati, mpoa wa mjini
Juu wengine wanasema mi ni sosa
Wengine washacheza doba zangu ya kutosha
Wengine wanasema nikidhigidha collabo
Wanisa wa kukam inabaki nawaosha
Wengine doba zao ziko chini kama carpet
Wengine nawapeleka na rada ma puppet
Luku diriba ilikuja ilikuja na jacket
Juu ya maduya nishamada sachet
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vi, Ntakudigi tu vi
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
[June]
Girl me love the way your body
Call call me tonight
Girl you make a badman feel alright
That is why me wanna give you all my life
(In the morning)
Girl me I love you in the morning
(In the morning)
Same time baby me I’m horny
(In the morning)
Call me anytime that you want me
That you want me, that you want me
(Walaiii)
[Sosa]
Pum pum pum mi naipiga mijeledi
Nikudigi fiti nicheze na hizo jegi
Unaeza kuja kuja kuja home my lady
For you nishadie yaani Sosa nakudedi
Ai mpoa amejibeba, Ayela kama Kendi
Mpoa naeza pigisha ma lap mawikendi
Ati niko niko on hizi ngwai nakuseti
Venye niko ganji unashikiwa kibeti
(Walaiii)
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vi, Ntakudigi tu vi
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Burn burn msupa aliburn
Msupa akikupa basi cheza na githaa
Mimi siko sawa nimejaa na kichaa
Nimekuja kama nyota sasa nimeng’aa
Shsh sssh, shikisha
Morio akikupa basi buda pitisha
Mis-handle, mis-mantle
Lights, camera, action
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vi, ntakudigi tu vi
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti