Mr Tee – Digii Lyrics ft Frost & Chacha

Check out “Digii” lyrics by Mr. Tee featuring Frost and Chacha on Kelxfy. “Digii” is a sheng word that means to understand someone or get to know someone better.
Digii Lyrics
Wanjiru, Waithera
Ukiulizwa unataka unakataa
Unataka? Mi nataka
Niko muddy design ya manyatta
Leo form Konyagi, Keg na ka Tusker
Usiulize nini, mi ndio master
Miaka 12, tunachanganyisha madawa
Mafala wanauliza rada nawagawa
Niko maji kuliko magician
Cheki mresh mresh amelalisha
Na akinitext, lazima ataniitisha
Na akiitisha lazima nitafikisha
After chuo, ka reggea na madem
Pale si mboka katee
Na Shei wa mavape
Vape, na mandege za ma bape
Bape, sistee unajidate
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vi, Ntakudigi tu vi
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Manze huyu dem nitamsesa
Nitamkill na mavibe ntamteka
Mr Tee jo mi ndio body bender
This way, that way, vile unapenda
Chacha akikudigi utabaki tu kilema
Kushy akudigi akuwache ukihema
Mficha uchi hazai
We kam mi nikupe asali
Mr Tee siku hizi umeanza kuwa lonely
Siwachochi nimeanza kujinoki
Na juu ya Covid….
Si kwa ubaya ni venye sina doshi
Awiti si unajua nakumind
Kam home manze nikusanitize
Na juu ya quarantine nimepata apetite
Manzi anachonga jaba kama ye ni rasta
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Nadai nikudigi uskie fiti
Nadai kukupin manze uskie thithi
Nadai nikuchew nikublow ka bigG
Nadai turelax tukidishi minji
Burn burn msupa aliburn
Msupa akikupa basi cheza na githaa
Mimi siko sawa nimejaa na kichaa
Nimekuja kama nyota sasa nimeng’aa
Shsh sssh, shikisha
Morio akikupa basi buda pitisha
Mis-handle, mis-mantle
Lights, camera, action
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Ntakudigi tu vi, ntakudigi tu vi
Ntakudigi tu vifiti kwa kiti
Player on the side
Na siwezi compromise
Nilidate slayqueen but sai ananyc
She is the apple of my eye
Nimemdedi kidesign
Na siwezi ideny, iyo stuff inanyc
Basi kam tukembane, tupendane
Basi kam tufinyane, tuumizane
Itakuwa basi gentle, sentimental
Bila pressure ama tension tusemezane
Napenda vile ako sweet and nice
Hunnie and spice that bitch in the night
Hatuwezi kosa form we kam tujinyc
Party party after party tunableki mi na we
Siwezi date dem ananuka tu mamoshi
Nipe 69 plus 9 niko horny
Nilipewa head niki video call Njoki