Oga@Dtop – Forever Lyrics
Check out “Forever” lyrics by Oga@Dtop on Kelxfy.
Forever Lyrics
Oooh nanana, Oga@Dtop
Oh my baby wacha nikusifie
Jina gani nzuri nikupatie
Burudani unazo nipaga mie
Usiwape wengine utafanya mi nijifie
Penzi linawaka moto, anipa raha sio kitoto
Acheni ajishaue, msitusumbue
Ngoja tutwange na mafoto, tujipost kwa tiktoko
Acheni tujishaue, msitusumbue
I love you today
And I will love you forever
I will kiss you today
And I will kiss you forever
I love you today
And I will love you forever
I will kiss you today
And I will kiss you forever
(Milele na milele…)
Kaukosha mtima, nimempenda mazima
Nampa tuzo ya heshima, ya mapenzi
Kanivuta kilimani, kanitoa visirani
Za wengine sitamani, nipo tu ka hayawani
Breki nakosa
Penzi spidi gari noma sana
Sitaki kumkosa
Penzi lake sukari tamu sana
Penzi linawaka moto, anipa raha sio kitoto
Acheni ajishaue, msitusumbue
Ngoja tutwange na mafoto, tujipost kwa tiktoko
Acheni tujishaue, msitusumbue
I love you today
And I will love you forever
I will kiss you today
And I will kiss you forever
I love you today
And I will love you forever
I will kiss you today
And I will kiss you forever
(Milele na milele…)