Sean MMG – Nakudai Lyrics ft. YBW Smith

Read “Nakudai” lyrics by Sean MMG featuring YBW Smith on Kelxfy. “Nakudai” is a sheng word that means I want you.
Nakudai Lyrics
Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
Lazima ring, lazima ring light
Ndio msupa atukunywe na mapicha
Social media sio wote wa mafilter
Kuna wengine personally wameiva
Na bado nyuma unakuta wamebarikiwa
Ukitupa vibes kawaida wao huringa
Lazima ufike bei ndo ukatike na madiva
Design nimezoza imebaki niitwe E-Sir
Yoh! Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
(Maggy Maggy)
Na ka ni kwela mi natafuta top-tier
Mwenye amejiweza amejibeba anajitaftia
Ju bila doh, ka stori nakukanyagia
Kupanuka atis alert hakuna kutulia
Alijichocha na kusema venye mi ni player
After kuparty jana usiku manze alinipea
Ako na chali na bado mali inapepea
Kanairo blanda ukicheza tunakuchezea
Pengting ni sura zingine naeza adisia
Malightskin ndo kidogo mi nachangamkia
Anajitepa na mi ndo najipulizia
Na ka ni mechi anapenda kucheza na gear
Hio ka ni kwela mi napenda kujitaftia
Sio lazma biggie mi napenda petite pia
Hawezi zima kama mzinga naongeza na beer
Na usipochunga kama kiti anakukalia alaa!
Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
Madam nakudai
Umedunga mini na unapenda mangwai
Unadance fiti unawacha nikismile
Ama niko high ju walai zimenice
Check out other Arbantone songs and their lyrics on Kelxfy.