Cheza Doba Lyrics – YBW Smith ft. Spoiler 4T3

Read “Cheza Doba” lyrics by YBW Smith featuring Spoiler 4T3 on Kelxfy.com. “Doba” is a sheng word that means music while “cheza” means play. The song is a perfect “party/sherehe” theme song for the Kenyan youth & Gen Z.
Doba Lyrics
Cheza Doba ju vile imetubamba bamba
Ni doba inafanya unakatika tu sana
Ni doba inafanya unatekewa magaldem
Ni doba inafanya unakatiwa haraka
Ni doba ju ya vile imetubamba kubamba
Ni doba ju ya vile imetubamba sana
Ni noma ju ya vile imetubamba kubamba
Ni noma ju ya vile inatubamba tu sana
Cheza hio doba, tingiza topa
Mogoka inanionyesha leo nishuke na kamoja
Dunda alafu okota, legeza hapa utatokwa
Si tumezoza tangu enzi za ki
Watu washikane wawili-wili
Waiter leta mbili mbili
Lazima zitawaka so nimejipin mazigi zigi
Stingo ni za ki dead so unacheza na kiwili wili
Nishatepa cabin, moshi imejaa kwa
Watu washikane wawili-wili
Waiter leta mbili mbili
Lazima zitawaka so nimejipin mazigi zigi
Stingo ni za ki dead so unacheza na kiwili wili
Nishatepa cabin, moshi imejaa kwa wingi wingi
Cheza Doba ju vile imetubamba bamba
Ni doba inafanya unakatika tu sana
Ni doba inafanya unatekewa magaldem
Ni doba inafanya unakatiwa haraka
Ni doba ju ya vile imetubamba kubamba
Ni doba ju ya vile imetubamba sana
Ni noma ju ya vile imetubamba kubamba
Ni noma ju ya vile inatubamba tu sana
Ni noma ju ya vile inanifanya kuchana
Ni gut na ma G pale zabe taxin
Ni madunhill alafu seti moja ya Yassin
Uwezi compare gode zetu tunaship
Hii ni doba inafanya madenge wataitana
Kuzoza tumetoka East mpaka London
Nasonga ukibonda kwa block washaniona
Mi sinanga chills unapimwa na mabeats
Ati unalipa bills mi nampleka tu East
After this, kila wikendi tuko Westy
Ma drinks na ma champagne kama Mr Ric Ross
Nika mbuyia rose akienda home
Mi ni pro, mchezo ka ni dem ananiknow
Kam slow, tuko na like a boss tuko job
We mshow anataka niwasetie kindom
Namshow, madam huendi home
Madam huendi home
Cheza Doba ju vile imetubamba bamba
Ni doba inafanya unakatika tu sana
Ni doba inafanya unatekewa magaldem
Ni doba inafanya unakatiwa haraka
Ni doba ju ya vile imetubamba kubamba
Ni doba ju ya vile imetubamba sana
Ni noma ju ya vile imetubamba kubamba
Ni noma ju ya vile inatubamba tu sana
Cheza Doba ju vile imetubamba bamba
Ni doba inafanya unakatika tu sana
Ni doba inafanya unatekewa magaldem
Ni doba inafanya unakatiwa haraka