Ebola Mkuu – Mapeng (TikTok Divas) Lyrics ft. Gody Tennor & Tipsy Gee

Check out Mapeng (TikTok Divas) lyrics by Kenyan artists Ebola Mkuu featuring Gody Tennor and Tipsy Gee on Kelxfy. Mapeng is a sheng word that means girls.
Mapeng (TikTok Divas) Lyrics
Sikuforce unipende utanskiza ukipenda
But vile kunaenda itabaki umenipenda
(Man a Tipsy)
Mneti kuna kwela peng
Kwela hauwezi rate
Kwela ukirate piga ten over ten
Makwela mapeng kwela hauwezi date
Kwela ukidate lazima uringie gang
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Double tap kwako nitende hako ka peng
Vile kamenipiga turn siumecheki ni ka ten
Ati black chocolata ama white vanilla
Wote mi ninamezea mate Tiktoko diva
Aki sijui ni nini walikosea luku
Ju vile wao huipiga
Wakiongeza mafilter na ringlight kwisha
Chenye wamebakisha ni Tipsy kwenye picha
Slide for the D to the what a beauty
Siunaeza niita neat wako baby
You are a cutie I wanna be your bestie
Nilikucheki gram nikapenda nikakutext
Mi ninadai kukam then ukam ndo nikam
Mneti kuna kwela peng
Kwela hauwezi rate
Kwela ukirate piga ten over ten
Makwela mapeng kwela hauwezi date
Kwela ukidate lazima uringie gang
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Haalo!
Mi ninadai kusuka Nasieku
Iabidi chali yake ajue peng ni wetu
Kama siba na kawi masepetu
Mi ninataka kapoa kakufloss huku kwetu
Nadai Kendi huyu msupa crazy
Kadem kameiva na kako na jegi
Tuteke hao madiva twende kwa BNB
Alafu tutashare ju wako wengi
Hawa wasupa ni ka watanimaliza
Ju vile mi hushinda nikiwa nimesimp huko Easter
Tamara macho tu zinaniita
Kawira huwanga keki na kamenimaliza
Mneti kuna kwela peng
Kwela hauwezi rate
Kwela ukirate piga ten over ten
Makwela mapeng kwela hauwezi date
Kwela ukidate lazima uringie gang
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Cheki Azziad Nasenya
Gathoni na Wema
Nikita Kering’wakikupea utalenga?
Emi, Emi, Emiliana
Figa iko ndani wee ni wa kina Rihanna?
Alma Mutheu wakishikana na Amber
Wamenisundia kamote aki makwela wakamba
Mi sijali ati oki itaniramba ako kwela
Ni peng ninakafungia kamba
East jo ni wako kuna peng sijataja
Ukilala bafu chafu unakuliwagwa Natasha
Nitaje my crush nimechoose kunyamaza
Mkisema ng’we lake track namtaja
Mneti kuna kwela peng
Kwela hauwezi rate
Kwela ukirate piga ten over ten
Makwela mapeng kwela hauwezi date
Kwela ukidate lazima uringie gang
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha
Makwela wameiva the Tiktok divas
Cute face pia reverse lazima utaitisha