Sean MMG ft. YBW Smith – Dance ya Kudonjo lyrics
Check out “Dance ya Kudonjo” lyrics by Sean MMG featuring YBW Smith on Kelxfy. “Kudonjo” is a sheng word that means to come; also in other contexts, kudonjo means fun.
Dance ya Kudonjo Lyrics
Alaaa, si ucheki
(Magi Magi, Magi Magi)
Ati dance ya kudonjo
Hii ni dance ya ma
Dance ikishika unazungusha
Right to the left unazungushia
Hii ni dance ya ma (Hii ni dance ya ma)
Ati dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left unazungushia juu
Hii ni dance ya majuu (Hii ni dance ya majuu)
Ati dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left unazungushia juu
Hii ni dance ya majuu (Hii ni dance ya majuu)
Nilimwita “hey” kuja straight Kilimani
Msupa alibambika nikisema ye ni mali
Na hang na ma G, ka ni form tunakill
Hii ni doba safi na ni genge imetii
Vibe ingine real nikishika mic mi mzii
Collabo sio free, tukipop wanafreeze
Wanakuwanga wametii wakijiita wasanii
Wanakuwanga wametii wakijiita wasanii
Na manzi ako daily Insta, Snapchat
Alikam akaitisha
Juu kuna time nilidate twin sisters
Wanafanana lakini mi sidai tiflo
Ukiwa mavitu ni ngumu kuwa tofautisha
Wote wasomali Halima na Khadija
Unapimanishwa ukitumiwa mapicha
But kitu real sura isiwahi kuchanganisha
Na figa ya Shakila watasema umelalisha
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
(Magi Magi, Magi Magi)
Nasaka formula
Nisonge wapi niende wapi ndio ni get mulla
Juu akina Njeri, Mercy, Wambo wananitafuta
Na vile shere tulipiga jana ikalipuka
Aki walai nilijipatanga stenje
Na kwenye mfuko nini chwani nyuma mbele
Na kila sa ati safari si twende
Staki ku-marry mi nitajimada na madenge
Aah! Kwanza kidogo nina fever
Nichill kejani nikijimada na fifa
We skuma memes si tunacheza na ma figure
Kaa imekunice ongeza volume kweye speaker
Ah, Magi magi
Na niko bukla na cheki tu ma bunda nda
Na Niko magani nakladi ni za ula-yaa
Mi niko ready ni wapi tunakutana
Tukazitoke na machajo zikitubamba
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu
Ati Dance ya kudonjo ni dance ya majuu
Dance ikishika unazungusha mguu
Right to the left mkono zungushia juu
Hii ni dance ya majuu hii ni dance ya majuu