Namdai Lyrics – Kappy ft. Kushman & Gody Tennor
Check out “Namdai” lyrics by Kappy featuring Kushman and Gody Tennor on Kelxfy. The song “Namdai” is an “arbantone” anthem.
Namdai Lyrics
Alo! Nasema I’m single, I’m single again
Niko single, na hio kitu inanipain
Wanasema behind every successful man
There must be a pengting na amebeba nyash
Ati behind every successful man
There must be a galdem na na ako na class
Nimekaa soko sana
So itabidi nivuke ata na mmama
Walai, I’m single and searching
Kwanza kuna msupa amenibamba
Walai namdai dai dai dai jo
Huu msupa namtaka, namdai dai dai dai jo
Nasema I’m single, I’m single again
Niko single, na hio kitu inanipain
Hii ni ngori zaidi ya venye unaexpect
Venye utaniget
Venye utaniskia na utataka kwenda next
Nimekuwa soko for long nadai kuchujwa
Kuna peng mi nadai na ndo lugha
Ka ni safi sana tunabuy
Ka ni mali sana tunadai
Anapendaga venye na rhyme
Nil nil kwa hii mechi tunavai
Hio ndo tunasema kuongeza shuge kwa chai
Kwani nini strategy ya stick utawai
Kubwa cadburry imecurve kidesign
Ustake jo ukipatana na badboyz we mpanda
Ayayaya, ndo maanake
Nataka lighskin
Nataka kamoja kapoa ni kapengting
Alo, kana cooperate fiti
Shore anabambabika size ya biro ni biggy
Walai namdai dai dai dai jo
Huu msupa namtaka, namdai dai dai dai jo
Nasema I’m single, I’m single again
Niko single, na hio kitu inanipain
Tumewachana, ah amekata tuongee
Inaniuma sana, but itabidi nizoee
Kwani ni mwisho wa maisha nijinyonge
Stress nitatoa na machakula na mapombe
Lakini maisha lazima kasonge
Na kama Ngesh, Kaveve lazima kazoze
Nikipata doh, mi hukuwa single again
Nikurudi soko na kurudi again
Nikisota narudi back to my bed
Nikiomoka tena, pull up selecta
We uko fourty na soko hutoki
Kwani ni kurogwa mpaka kienyeji hakunoki
Mi ni kwa hewa ndo natembelea
Na mabibi za watu I don’t care
Walai namdai dai dai dai jo
Huu msupa namtaka, namdai dai dai dai jo
Nasema I’m single, I’m single again
Niko single, na hio kitu inanipain