YBW Smith – Miss Flani Lyrics ft. Spoiler 4T3

Check out “Miss Flani” lyrics by Kenyan artists YBW Smith featuring Spoiler 4T3 on Kelxfy.com. “Miss Flani” is a song that talks about love and relationships. The background song vocals sample Akon’s track “Lonely,” and the audio is produced by a Kenyan producer, SoundKraft.
Miss Flani Lyrics
Naskia hakuwezi bamba bila
Naskia hakuwezi bamba bila
Ati John kwenye bar
Mi nakunywa john bar
Me namiss miss flani
Nikimiss Miss Njagi
Tukimix drinks flani
Tukisip na macharji
Kuna biz biz flani
Ni kudeal na gizani
Kuna biz biz flani
Huwezi ingiza za ucharji
Na hizi skills skills flani
Zinakuja na kithegi
Ju ya kiki nani
Tuko after the ganji
Si ndo mabigfish
Yaani big ka samaki
Sku hizi tangu tuzoze pongi ni matapo
Bike iko bengega pori imejaa na madoh
Alafu hanaku dumba kegonyi mbele ni God
Bila presha, YB na elpatron
Ati John kwenye bar
Mi nakunywa john bar
Me namiss miss flani
Nikimiss Miss Njagi
Tukimix drinks flani
Tukisip na macharji
Kuna biz biz flani
Ni kudeal na gizani
Aki bounce club utadhani kangaroo
Miss ako na steps utadhani kungfu
Anasema mi ndio buda umetripstar majuu
Si basi basi basi, come through
Miss fatty, funny na mbona sikuradi
Maboy wako booth wakichora mistari
Mi leo niko mbali nazama katikati
Dem ni mclassy shorts kwenye glasi
Mbogi iko locked na madem wameiva
Wamekamilika ju ya liqour na shisha
Wamejua mnisa ju nalipia na Visa
Vitu mi nafanya zinakuwanga za kinisa
Anakataa lakini anataka nimpe kiss
Anazungusha kiuno anafanya niskie dizzy
Mi nina mazigi nimejaza kila biz
Ju nikujiseti, tunaseti ya Yassin
Ati John kwenye bar
Mi nakunywa john bar
Me namiss miss flani
Nikimiss Miss Njagi
Tukimix drinks flani
Tukisip na macharji
Kuna biz biz flani
Ni kudeal na gizani
Sku hizi tangu tuzoze pongi ni matapo
Bike iko bengega pori imejaa na madoh
Alafu hanaku dumba kegonyi mbele ni God
Bila presha, YB na elpatron
Ey ey, si ucheki, alaaa!
4 4 403, Four