Wadagliz – Anguka Nayo Lyrics

Check out “Anguka Nayo” lyrics by Wadagliz on Kelxfy. “Anguka Nayo” is a viral arbantone song by Wadagliz members Kantel and ManaZZogo members of Hood Boyz.
Anguka Nayo Lyrics
Ni wada-ni wada-ni Wadagliz
Ni wada-ni wada, ni Wadagliz
Ju tushaskia, ju tushaskia
Wadagliz
Ju tushaskia, tukiingia ni kublast
Ukuwanga bad unachukuliwa madam
So anguka nayo itabaki umeflow na vibe
Anguka nayo ka uko single for now
Mdagi mdagliz mteja hapatikani
Adi latenight saa sita ndo utaniwai
Nikupin location na niko far na Nai
Si ukate call niko chuom mbaya
Mi najua utakwom, it is what it is
Acha nikushow kwanza form ni hadi dawn
Nishashika mpoa na twende chini kwa chini
Akiwa adi na mimi sai tunaskiza shin city
Tunafeel free
Take a video na upost pale NGC
Jina ni Kante, kurap si ni talent G
Anguka nayo, eh anguka nayo
Cheki!
Anguka nayo twende down low now
Stand up to your feet
Mikono juu alafu uclick
Tuliza pace alafu one lege
Anguka nayo one lege eh
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo kama uko na new catch
Anguka nayo ka unaparty na ma gwash ah
Anguka nayo round two kwa hii bash ah
Anguka nayo ati, anguka nayo ati
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo ati
Ati angunka nayo
Ati anguka nayo
Nakatika msupa we banjuka
Cheza chini ukikwenda hizo madhudha
Anguka nayo baby girl ushaitika
Mdagi mdagi matisho za Wadagliz
Eh ah ama darling
Sitambui serekali ju ni siri kali
Tamu ka ya asali
Si mnajua ni nani
Flow mtakiki
Ndo nimedunga hapo down nichi
Boot akiwa poa daily miti
Aha, aha, beba
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo msupa amefeel relaxed ah
Anguka nayo kama uko na new catch ah
Anguka nayo ka unaparty na magwash ah
Anguka nayo round two kwa hii bash
Ati
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo kama uko na new catch ah
Anguka nayo ka unaparty na magwash ah
Anguka nayo round two kwa hii bash
Anguka nayo ati,
Anguka nayo, anguka nayo
Anguka nayo, anguka nayo
Who are Wadagliz?
Wadagliz is a fast-rising Kenyan music group made up of Kantel and ManaZzogo. Wadagliz was established in 2023. In 2024, Wadagliz have released tracks such as “Anguka Nayo”, “Na Hio Stingo”, and “Facts”.
