Wakadinali MCMCA lyrics & Meaning
Kenyan artists Wakadinali have released their first song this year title “MCMCA” off their new album project Ndani ya Cockpit 3 set to drop this November. Check out MCMCA lyrics transcribed by Kelxfy.
Wakadinali MCMCA lyrics
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
Screen yangu bado ni JVC
Oldskul blood bado mi huona KBC
Kichwa mbaya Sewer siskii
Watu wa CBC unaeza tuita Gen Z (Gen Z)
Same things shit still never changed
Bado MVP tukimalizanga game
Sioni haya zetu zikikanashi
Mi ndo VIP kwa show zote mna attend
Jiwekee ukituona jiekee
Jeshi ya B imekam kuharibu South C
Barricade kuna wale wana AK
Jeshi ya D imekam kuharibu South B
AV ukidai tuchome scene utatuchoma picha
Ju hatunaga ID
MP hajawai skia our plea
Mara IEBC vitu hata haitusaidii
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
Yoh ni ka mi ndo niliwaletea Corona
Wanabonga very bad ni loud hao mahater mthii
Snake kula kona sababu shit zao mi huzionesha rogue and C
Nikitaka peng labda Nikita Kering’
Lupita haniezi labda akitaka ring
Ju ni kuficha ring tukituma featuring
Sprite lean na niko bin
Dry gin na nicotine
High honey am home
Nazikindaga ka 10 magithesha
Since kindergaten nadaingi Kim Kardashian
Mombasa Naivasha ama nikupeleke Rodeshia
Ama Dar mpaka Moro acha ni earn nikuwe Waiguru
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
This year niko fully loaded
MCA mbele ya wasee sikuli gode
Si choose kazi jo uchumi ngori
Usiulize nafanya nini niko shughli zote
Usimess na hii shit ni deep
Dem yako sikumdishi nilimpimp
Purura windows ni tint
Karao anachunguza nini hio inastink
Brejin how are you behaving
KSM vitu tulifanya Air BNB
MC wenu bado MCM
That’s why they can’t compare me and them
Ju ya chats kama VOM
Ju ya cash uone violence
Niliuliza mother land ama ubuiwe Benz
Kovi on demand warazi wanatense
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MC still MCA
USA, USB na kacharger type C
Character yangu imedevelop vibaya
ADHD ndani ya Airbnb
MCMCA Meaning
MCMCA simply means an MC who is also an MCA, in Kenya an MCA means a Member of County Assembly while MC is a master of Ceremony. In this particular song Wakadinali showcase their art through the video which is edited and directed by AntyVirus(AV).