Mauru Gwash ft. Sean Houdini – Digida Munde Lyrics
Check out “Digida Munde” lyrics by Mauru Gwash featuring Sean Houdini on Kelxfy.
Digida Munde Lyrics
Grrt! ThirtyFour
Where the guap at
Nimekula digida munde so lazy fahm
Usitry kuleta beef huwezi slide
Naskia ulikulwa ukakula hio dive
Tukilink up, ntauliza unatutema why
Nimekula digida munde so lazy fahm
Usitry kuleta beef huwezi slide
Naskia ulikulwa ukakula hio dive
Tukilink up, ntauliza unatutema why
Mi si internet gangster
Digii scoreboard ni wangapi nimedunga dagger
Najulikana hadi Portmore, kijana rui ghetto
Gizani biz marapper kuwapora
Hamuna mode daro, kujeni lectures
Na muache kushinda kama mumeparara
Kama ka ni swara bado mi nangoja
Ni wengi nimedu ma wrongs pale koja
Stori za viding mi ni riet sijai hepa
Napenda kuzisanif twice a day
Heavy way, msupa alinitoka
Juu ya kushinda nimechoma
Either way nilifall in love na denga na kiboza
Nimekula digida munde so lazy fahm
Usitry kuleta beef huwezi slide
Naskia ulikulwa ukakula hio dive
Tukilink up, ntauliza unatutema why
Nimekula digida munde so lazy fahm
Usitry kuleta beef huwezi slide
Naskia ulikulwa ukakula hio dive
Tukilink up, ntauliza unatutema why
Ah, try kututema
Na utatuacha mapema
Siku njema huonekana opp akitetema
Alilazwa pema, huyo boy alijiona Rema
Alitry kuhepa ikabaki jo amehema
—Na marap huteveva
Hop on the beat inabaki wamehepa
Brighter new sound na bado wanateta
Wakisound same, nawacoach ka Arteta
Lost in my zone sina time ya mahater
Usinieke debate za nani ndo greater
Design nimepaka utadhani mi painter
Na sidai call, I’ma talk to you later
Alinitaja kwa song, kumbe alichokoza beast
Huo boy kwao hujifanyaga don hadi akakujaga East
Ukidai beef jua hii ngeri ni rong
Mbogi iko ready ku feast
Already wanajua tuli-up the score
Trip niku-up kwa list