Fathermoh: Kudade Lyrics & Meaning ft. Ndovu Kuu, Harry Craze
“Kudade” is a trending dance challenge that has gone viral on social media. “Kudade,” released by Kenyan artists Fathermoh, Ndovu Kuu, and Harry Craze, is an interesting and fun song. It has amassed millions of views on TikTok after Fancy Fingers did a remix.
“Kudade” means pouring out something, and some have questioned the song lyrics, which seem to be spiced up. Check out the “Kudade” lyrics below.
Kudade Lyrics
Cheki cheki me na we
Aai tuna-do the math
Surrender take over joh
Angusha mabidhaa
Baby si ubend-over
Kwanza venya inafaa
Si ati nachocha
Me napenda hii kifaa
Ukithigitha thigitha pale tu kwenye machuom
Me naskia skia ni kama niko mandom
Sa hii nko zone mamizinga ni za Chrome
Manzi unanibamba mahari nitachukua loan
Nakulamba tu pahali, pale sehemu flani yaani
Na utamwaga me sijui jo ni maji gani
Nikimaliza utasema joh ni daddy daddy
Harry Craze yule boy wa mashinani
Anapenda akizilick
Anapenda cheeks, anapenda thigh
Gals napenda hizo hips
Sexy zikiwa bambam
Anapenda hii, anapenda that
Slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that
Slow but iende chap chap
Aii aii kudade, aii me nadudeda
Aii aii nina nganamwa ana-mbanala
Aii aii kudade, aii me nadudeda
Aii aii nina nganamwa ana-mbanala
Enda kuzienda
10 over 10 ni Mijikenda
Tabibu ndo ajenda
Figa ni nane si utapenda
Chora saba, she is a bender
Figa sita sitaenda
Nakupenda na nitakupenda
Mara ka tano udhani ni tender
For you niliacha mavela
For you niliacha Pamela
For you niliacha makwela
Huskii niko mboka idhaa ya hela
AahVitu ni tatu
Ah usiskize msela
Kuna ndovu kuna matope
Zikipatana nina teller
Anapenda akizilick
Anapenda cheeks, anapenda thigh
Gals napenda hizo hips
Sexy zikiwa bambam
Anapenda hii, anapenda that
Slow but iende chap chap
Anapenda hii, anapenda that
Slow but iende chap chap
Aii aii kudade, aii me nadudeda
Aii aii nina nganamwa ana-mbanala
Aii aii kudade, aii me nadudeda
Aii aii nina nganamwa ana-mbanala
Kudade Lyrics Meaning
According to the meanings obtained by fans online, “Kudade” means pouring out something, and “Mbanala” is taken from the Swahili word “lamba”, which means to lick something. “Nadudeda” means performing in the Sheng language. The song lyrics may have other meanings based on the context referenced.
One Comment