Breeder LW ft. Zendiambo – Dance Mpyai (Both Lege) Lyrics
Check out “Dance Mpyai (Bothe Lege)” lyrics by Breeder LW featuring Zendiambo on Kelxfy. “Dance Mpyai” is a sheng word that means a “New Dance”. This song was inspired by Mc Zendiambo slogans/phrases and dance styles which include; kumalo kufinish, shera, kudonjo, kispaki, one leggeh, both leggeh among others.
Dance Mpyai (Both Lege) Lyrics
Big Baba na Zendiambo
Oya dance ni ingine mpyai
Ati anapenda nini Breeder?
Yooh aah (Eyoo Metro suka doba)
Anapenda lake side boys
Sample ya Breeder Prince Indah
Coastal diva kwa mkono henna
Ye huchezanga Call of Duty
Saa zingine FIFA
We ulitoka Inda, Paulo na Sila
Dhigidha, dhigitha mabombo
Kwela haga biggy ka ile keja ya Omollo
Breeder na malines ka suti za Charles Njonjo
Ongeza kichele na upunguze mdomo
Both legge na usimame ten toes
Piga both legge na usimame ten toes
Chinja ua na usivunje shingo
Kuwamalo Zendiambo said soo…
Ati kufinish, kuwafanya nini Breeder
Huwanga mbaya, oya huwanga very bad
Madance ni deadly, deadly
Ku-dive, ku-shera, one leggeh, kispaki
Gotha alafu unadonjo
Donjo, donjo, donjo, donjo
Ka sio bimmer mi nakuja inna Benz
Au nifiche white in a silver Mark X
Niko aluta na walai sidai stress
Wanajaribu but we badder dan dem
Na nina mapeng, we selekta gotha tena
Ngoma icome again
Niko Tamasha inaninyc, unaeza tell a friend
Jaza zigi na kishash, wapi lighter then
Who can do it like, we
No, none of dem
No, none of dem
Chris Black mi ni fyat
Hatuko the same, hatuko the same
Shera, shera, shera
Dahitha, dahitha, dahitha
Donjo, one leggeh, one leggeh
Both leggeh, both leggeh
Both leggeh, both leggeh
Dance inengi mpyai oyah
Breeder, Big Baba
Breeder, Big Baba
Dhigidha, dhigitha mabombo
Kwela haga biggy ka ile keja ya Omollo
Breeder na malines ka suti za Charles Njonjo
Ongeza kichele na upunguze mdomo
Both legge na usimame ten toes
Piga both legge na usimame ten toes
Chinja ua na usivunje shingo
Kuwamalo Zendiambo said soo…
Dance inengi mpyai oyah
Kushera, one leggeh, kispaki
Gotha alafu unadonjo
Donjo, donjo, donjo, donjo
Mbogi Nare, substance over hype
Fika Best
(Eyooh Metro Suka Doba)