Anapiga Pic Remix Lyrics – Maandy ft. YBW Smith & Breeder LW
Check out “Anapiga Pic Remix” by Maandy featuring YBW Smith and Breeder LW on Kelxfy.
Anapiga Pic Remix Lyrics
Ey ey! Tano nane, skia
Ey ey ey (Remix)
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
(Kabaya)
Ninapiga pic juu ya bed namtumia spidi spidi
Last seen alificha ni kwa nini?
Anajua baby wake huwa chizi
Ni chini ya maji mi humficha kama siri
Yah ukitema taxin kam hivi
Nguna ka mimi sipigangwi na baridi
Soko nikirudi nishatoka jioni
So ukisleki, guaranteed hunioni
Ukitaka mi na bend down visiri
Like -in the sky, tuachane kwa nini
Ye huniita mamaz nikilinky
Can’t cheat can’t die amini
Ukitaka mi na bend down visiri
Like -in the sky, tuachane kwa nini
Ye huniita mamaz nikilinky
Cant cheat can’t die amini
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Yoh manze hepa si watu wanabreak up
Ah cheki mamaz naskia tifi
Umekuwa nditni zishike ukose usingizi
BuruBuru niko ngwethelize na wazingting
Mratish na mangeus jo ni party jo
On a Monday nipate jaba na mashash
Twende Tuesday nipate na ule matha tukidance
Fika Wednesday nikiroll tu mashash
Thursday nipate party
Na Friday kazoze
Si uongo tulipataa soko
Anakam juu ya mangoto
Anadai ye ni poko
Na bado siamini amekuja na mawhiskey
Anadai twende missing
Twende Eastleigh Mzee Ali cash money
Nipate na kimali umedungia mali safi
Na ghetto ka ni bani unabakishwa na shati
Namba nane, nipate baze tano nane
12’Oclock juu ya sana
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
[Breeder LW]
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado si anatesa
Ka hubanjaga sana na mi naitanga Alexa
Wairimu wa Kiambu, na anapenda pesa
Ndani ya baesa na gin juu ya meza
Doba ka inaweza pu, pull up selekta
Big baba nina wasupa ka saba na wako Daystar
Niliwafanya wote wakarudia semester
Badala waende lecture wako kwangu nawasesa
Tingisha zungusha kama kibuyu ya supu
Haga inaweza vunja hadi ratili ikipimwa
Msupa hunichizisha ni ka stoner juu ya nduku
Kwanza we ni keki na hizo picha hazina filter
Nina morale, sister si usare
Nina morale, wacha katambe
Nina morale, msinihande
Nina morale, wacha katambe
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up