Kanisa Heathen Lyrics by TMS Garvey

Check out “Kanisa Heathen” lyrics by TMS Garvey on Kelxfy. “Kanisa Heathen” is an arbantone sound that sheds light on modern-day life.
Kanisa Heathen Lyrics
Yeah Garvey, cheki ahaa
Ukiichukulia viserious
You really need some church
Dem fih say hatuendi church
Since we don’t need forgiving, forgiving
Them believe wanaenda church
Their sins they need forgiving, forgiving
Cheki, ati Sunday morning na mi sina form
Nimetulia kejani nachoma kindom
Na mbaby ameanza issue kwani mi sipendi God
Anataka twende church na mi sina option
Fika church kwanza ni kustuka
Nimepatana na usher na mi namjua
Huyu si ni ule Fei anapenda Busaa
Anakunywaga na jug akikosa chupaa
Na kwa choir nacheki Susan
Ananiitanga mtoto ju anapenda mabuda
Na ukimpata na mini akionyesha thutha
Aki walai, kanisa imebadilika
Dem fih say hatuendi church
Since we don’t need forgiving, forgiving
Dem believe wanaenda church
Their sins they need forgiving, forgiving
Ati, niko church na mi nimestuka
Ati kuona pia Jonte yeye ndio preacher
Johnte tulikuwa club mpaka saa sita
Hahitaji ata chaser akikunywa mzinga
Na hii ibada siwezi maliza
Nimeona vitu mingi, vitu zinatisha
Kama hivi ndio kanisa ashuke Jesus
Wanajiona wameokoka na si ndio sinners
Huku sadaka kutoa lazima
Na ukitaka kuombewa lazma utalipa
Hii ni maneno gani nimejiingiza
Hata huibiwi na wezi unaibiwa na preacher
Dem fih say hatuendi church
Since we don’t need forgiving, forgiving
Dem believe wanaenda church
Their sins they need forgiving, forgiving
Giving, giving