Ebola Mkuu – Luku Lyrics
Check out “Luku” lyrics by Kenyan artist Ebola Mkuu on Kelxfy. “Luku” is a sheng word that means clothes or fashion. The song talks about dressing well.
Luku Lyrics
Siku force unipende
Utaniskiza ukipenda
But vile kunaenda itabaki umenipenda
(Stay Music)
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Mi huipiga mpaka naiumiza
Mpaka hater anadai tupige picha
Nimewaka huskii na kuna giza
Nikipita ma shawty tu ni (OMG)
Kofia naidunga ka ile mbogi ya reggea
Kwanza ni wikendi kaende kaende
Nganya mi sipandi kama si Hell Heaven
Natembea na wasafi leo mi sina rende
Balmain lazima kakae fiti
J11 ama nipige tiki
Leo ni veve sina jaba ya 50
Kila kitu funny
Huku mi ndo Dj Shitty
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu ya vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Tiki taka, mpaka hawa madem
Nitawateka nikitaka, ustie shaka
Luku ka ni safi wamatha watakufuata
Topa nimepiga safi mistari ni nane
Ngwena ndo wakicheki kwanza watu waitane
Katoja ni kaslim kidogo tu kanibane
Nikiingia bukla mbona kasiivane?
Alafu kusheraa..
Mguu jamo
Kushera, usiku jamo
Katisho ni ka Stevo
Yaani katisho ni ka simple
Kutembea ni mastingo
Yaani lazima kamaringo
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu ya vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki sijui nilikosea nini luku
Juu ya vile mi huipiga
Vile mi huipiga
Aki vile mi huipiga