Kuja Ivo Lyrics: Gody Tennor ft. Sean MMG, YBW Smith & Tipsy Gee

Check out “Kuja Ivo” lyrics by Gody Tennor featuring Sean MMG, Ybw Smith and Tipsy Gee. “Kuja Ivo” is an arbantone song produced by Kenyan producer SoundKraft. “Kuja Ivo” is a Swahili word that means come as you are.
Kuja Ivo Lyrics
Alaa, siku mingi jo
Maggy maggy cheki
Odi tena asapa
10 outta 10 kani rate mama jo ako best
Na mama ni peng bila dent nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kukam, then akam, ndio nicum
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo
Alaa, kuna venye najifeel complete
Tukiwa na wewe ndo nikuite my miss
Akinipa hio kiss
Mathematically breeze
Cheki kitu ya first
Achana na ule fiat
Ju nakudai nilisare kwote kwote
Luku best tukiachilia hit
Tumezoza kila chuom kutoka Kite hadi Ngong huh
Niko malil lap akili kwa maG
Physically fit nimedrip mi ni crib
Unajua hunanga form ukijipaka cologne
Ukisleki huwezi know tushabadilisha flow
Manze kitu huniboo ni madem hawana dem
10 outta 10 kani rate mama jo ako best
Na mama ni peng bila dent nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kukam, then akam, ndio nicum
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo
Nacheki babe kuja ivo
Ju ka ni luku unapigaga na finyo
Na ni kapoa kazuri bila maringo
Na ye hukuja kwangu akitaka manze tumingle
Ju niko single ju form zangu indoors
Mi hupiga Gode na nashukisha na Ino
Na zimeshika anadai niteme jingjong
Mpoa ako ready na ashaanza kuchezesha ding dong
Juu hii ni hit song
Ati luku best ata we umetokea na vest
Na na manifest kukupenda kushinda your ex
Baby ka ni test tukikuja kwangu basi text
Ju ukifika unaeza pata nilo na the rest
10 outta 10 kani rate mama jo ako best
Na mama ni peng bila dent nyuma pia ako blessed
Alinicheki gram akapenda na akanitext
Anadai kukam, then akam, ndio nicum
So baby kuja ivo
Usiworry baby doll kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo
So baby kuja ivo
Usitense baby girl kuja ivo
Babe kuja ivo
Ivo ivo, ivo, babe kuja ivo