Zzero Sufuri – Mapangale Lyrics
Check out “Mapangale” lyrics by Zzero Sufuri on Kelxfy. “Mapangale” is a dance style and phrase coined by Mc Zendiambo also known as Stanama.
Mapangale Lyrics
KWise, yeah yeah
Zzero, kama sos mi ndio sos
Mi ndio boss, mi ndio
Dem yangu anaitwa Wanga ama ni Wangare
Na ako na haga sema mahagare
We uko serious na si tuko trending
Hujajua kwanini kumbe ni ufalare
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Heavily vile umezibeba ndani ya see thru’
Whine and kotch hii ni bigtune
Sherehe tunapiga niko na kitu
Nimetinga kikolo hiki ni kyangu mi na we tu
Dance fanya style deadly
Si lazima kwa bedroom tuanzie sito
Goosebumps najua ukishanicheki unataka
Blackman kipass kwanza ka kimewaka
Wanadhaningi mi si lover guy
Najua pia wanadai wanabongaga sana
Kwangu uskii ni kama lullaby
Ni juu ya shughuli shughuli usinishuku
Walinicheki wapi hio ni uongo mtupu
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Anafanya moves habongi lakini mwili inasonga
Anashake hapa hadi vile beat inagonga
Na ni ka anajua ile kitu anadai ishakuwa
Rada safi, na bado si huchafua
Ati Paulina, Paulina Paulina
Ebu cheza kwa maringo tukuone
Say bam chikicha, chikicha
Chikicha, ebu cheza kwa maringo
Ananimada na looks
Mshy kidogo rangi ni ile ya hali ya juu
Shore ameiva ananikalia tu
Hajatumia lami ni ka ametokea juu
Ametokea juu, ametokea juu
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate
Mapangale, mapangale
Mapangale kila mtu co-operate