Tipsy Gee ft. Ebola Mkuu – To KoiKai Lyrics
Check out “To KoiKai ( A Fyah Mummah Tribute)” lyrics by Tipsy Gee featuring Ebola Mkuu on Kelxfy. “To KoiKai” is a tribute song dedicated to Kenyan femcee Fyah Mummah.
To KoiKai Lyrics
(Y’all ready, are you ready?
Alright I go by the name
Jahmby KoiKai alongside selekta Technix
Yeah man, it’s all about conquering, surving
I survived 21 surgeries, and we say God is good
And I thank you all for your support
And I just wanna say-)
The strength of a woman, si size ya muscle
Ni venye anajituma daily anapiga hustle
Si mtumwa, anakula yake jasho
Hakuna kubaki nyuma, mbele anatupa macho
KoiKai Jah Jah akuweke fine
Tutapatana tena ikifika yetu time aii
So fly, ukasalimie Christ
Itafika tu matime wanare tutarewind
So pass a blunt for her life
To Koikai (To Koikai, To Koikai, To Koikai)
Tukilight for her might
To Koikai (To Koikai, To Koikai, To Koikai)
Pass a blunt for her life
To Koikai (To Koikai, To Koikai, To Koikai)
Tukilight for her might
To Koikai (To Koikai, To Koikai, To Koikai)
Lazima ningeandika moja juu ya Fyah Mummah
Amekuwa mama hizo enzi niki tamarc
Super femcee kwa reggea hio ni blunder
Na bado number one ndo ilikuwa yake mama
Kujitambua ndo ilifanya akasimama
For real imenihurt kuskia umehama
But niko very sure, huko juu ndo umehama
Maragoli chic, we the same kwa hio chama
Been a while, nimekumbuka 46
Balling jamsession, na reggea ithaa ya 6:00
Kama umehata hujui nani ndo MC
Super Marcus kwa Mic, collabo na ya Jhamby
Cheki, huko juu si uwasalamu
Si tumejam huku maendeleo karamu
Tusuke Ruto uwekewe sanamu
Kuna watu wakidedi mi hufeel ni haramu