Spoiler – Party Alone Lyrics
Check out “Party Alone” lyrics by Spoiler. “Party Alone” is an arbantone song that talks about having fun and good times.
Party Alone Lyrics
Why you partying alone
Ah, mbona una party alone
Na unaeza tokea area kuna form
Unaeza unaeza
Ati, tuko juu ya Chrome na bash imekrome
Alafu ni 4:10, 4:20 tuko mandom
Mpoa anauguza anataka twende home
Na zetu zimerunda niko juu ya jing jong
Unaskia gwethe imekanafi
Ni zetu sa zikanashi
Hadi late night tukiskiza reggae na ma G
Adisia kivelo jo kindasu ndo uongeze steam
Man a headbad mi hushikisha daily
Unaskia gwethe imekanafi
Ni zetu sa zikanashi
Hadi late night tukiskiza reggae na ma G
Adisia kivelo jo kindasu ndo uongeze steam
Man a headbad mi hushikisha daily
Aah, jo aah
Why you partying alone? (Why)
Ah, mbona una party alone
Na unaeza nitokea area kuna form

Hakuna cha kudoz
Hapa leo ni kukanashi
Wale wa machoki washaagiziwa mamnganazi
Hakuna hapa polite, leo labda watubebe g
Bado selekta anatuchambulia madoba si
Gwethe inalipuka ni kuzitoka tukiskiza mix
Aki walai leo stemi hadi mangware six
Aki walai leo stemi hadi ma aah, aki walai
Ati mapema ndo best, zii Chrome ndo the best
Konyagi hapa ndio chaser hakuna kuagizia ma Krest
Naskia jo niko bundle adi leo sidai makeg
Mokoro amenisort ameniwekea doh za test
Why you partying alone? (Why)
Ah, mbona una party alone
Na unaeza nitokea area kuna form
Unaeza unaeza
Unaskia gwethe imekanafi
Ni zetu sa zikanashi
Hadi late night tukiskiza reggae na ma G
Adisia kivelo jo kindasu ndo uongeze steam
Man a headbad mi hushikisha daily
Unaskia gwethe imekanafi
Ni zetu sa zikanashi
Hadi late night tukiskiza reggae na ma G
Adisia kivelo jo kindasu ndo uongeze steam
Man a headbad mi hushikisha daily
Why you partying alone? (Why)
Ah, mbona una party alone
Na unaeza nitokea area kuna form
Unaeza unaeza
Ati, tuko juu ya Chrome na bash imekrome
Alafu ni 4:10, 4:20 tuko mandom
Mpoa anauguza anataka twende home
Mpoa anauguza anataka twende
4OUR THREE, 4OUR THREE
Aah jo, aah jo, aah jo
4OUR THREE, 4OUR THREE
4OUR THREE, 4OUR THREE