Matata ft. Watendawili – Inakubalika Lyrics
Check out “Inakubalika” lyrics by Matata featuring Watendawili on Kelxfy.
Inakubalika Lyrics
Niache Nyash ipite boss kwani mi ni nugu?
Sikosi nguvu baby girl mi hukula njugu
Bad to the bone lazima nikunywe supu
Shake dat ting hadi upigwe marufuku
Kaende kaende, kifo cha mende
Unaninyonya kama maembe na tembe
Game bubu vitu zetu usiseme
Wacha wabaki wakidhani kuna venye
Peleka juu, peleka chini
Usiogope kurarua mini
Ikishika sana, toa ulimi
Zako zikipanda, cheza na mimi
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause…
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika
Rating ni five star
Ndani ya five star hotel kwetu ni Gaza
Naroga ka Vybz Kartel niko na answer
Uko na swali naeza tell
Bombastic side-eye (bombastic side-eye)
Sijavuka border napiga ma-Ethiopia
Ka ni 420 tupate tukichoma
Pigia pedi akuje na keroma
Hizi mamoshi zinatibu mpaka homa
Madem wanapaka hena na ma-foundation
Wanasema right now tuma location
Wanajua si ndio huwanga na formation
Mpesa confirmation leo celebration
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause…
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika
Uko divine baby, sa mbona ukunywe Chrome
Uko na body fine asalam, aleikum salaam
Ka si ya brown ah, ah, kwangu kitu haram
Geuka ka ghost nikishatumaga hizo salam
Niko na time and doh
Za ku-waste kwa mahoe nikasha get bored
Yo bam bam
It’s like a ticking bomb
When you tippin’ toes
Yeah I want some more
Yo bam bam
Napiga proper toka morning mpaka jioni
From the window to the wall, bedroom mpaka jikoni
Vile anageukanga we utadhani ye’ chameleon
Kesi imeshageuka ria my girl a hoe
Maordinary tuko area
Cheki vile doba imetubeba
Tingisha kichwa toa ngepa
Ule dem ako handas si amebeba
Zitoke mkono na mabega
Tetemeka ka una malaria
Shingo kando ka umeng’ethia
Jikune ni ka una bacteria
Alafu pause!
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika
Inakubalika, inakubalika