Lil Maina – Alert Lyrics
Read “Alert” lyrics by Lil Maina on the Kelxfy blog. “Alert” is off Lil Maina’s debut album, “Maisha ya Stunna“.
Alert Lyrics
Ni at ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
So ni one nimekuja home nijiondoe very fast
Nikigojwa na ile Uber yenye hucheza last last
Nafaa kuenda church but sidhani mi nitakam
Juu manze vеnye kumeshika hadi ukipiga ni revеrse
Ngoja hold up, kuna mali amekam
Kando KAV Subaru na najua ati amejam
Uko wapi? Nko kwa jam
Si unajua what a what a what a ah
Ni at ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Yeah, hii beat ni kali na ni choppy
Nikitokea bash najifanya sijasosi
Alafu kwenye niko wanadai ati hawatoki
Jaribu mtu mmoja utalala na masoki
Dondi ukipata nimefura usitry kubisha hodi
Usiulize nikindasu ju wapoa hatuoni
Ni macho imefura usichoche ati huoni
Venye zinanionyesha ni ati nganya kwa ploti
At ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease alert ah, at ease alert ah
At ease alert ah, at ease alert na
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Alert ah (At ease alert ah)
At ease alert ah
Haka kajaba kanadai nikuwe alert
Form ikijipa najitoa very fast
Ni at ease alert ah
One Comment