Sean MMG – Kale Ka Dance Lyrics ft. Mejja & YBW Smith
Check out “Kale Kadance” lyrics by Sean MMG featuring Mejja and YBW Smith on Kelxfy.
Kale Ka Dance Lyrics
Skiza (Magi Magi)
(Motif Di Don)
Leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
Nimelipwa ganji nimefunga wera
Mi namedi niko juu ya kivela
Nataka kuzitoka na ayela
Machaji wamekuja na makwela
Leo gwethe inashika ndani ya keja
Kisha twende dunda izidi kutubeba
Excuse me, who are you?
Na hako kadress umevaa see through
Unaninyc na hako kadance
Vile unacheka ni ka niko na chance
Asiyeskia la mkuu tunamvunja mguu
Na akileta ujinga tunavunja miguu
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
Leo, leo mi nataka kuzitoka
We nipe dance toa topper
Ju leo ni kuzitoka kando yake Madonga
Naset nikisonga, nawaacha wakibonga
Kuruka kudunda na tuanze kubanjuka
Kudunga nimedunga napendaga kuvunja
Wanaskia kushikisha vile tunajienjoy
Mara ya kwanza tukibonga alikam na convoy
Mabuda wake wote wanakuwanga na madooh
Wanampeleka hadi Coast kumbe amekalia Porsche
Tudem ako na doh, atakufanya kuwa toy
Ukidhani ako na job kumbe ameenda kula form
Jana dancefloor alizitoka mpaka four
Na mbele ya mabro unasema we ndio boss
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
We nipe dance toa topper
Cheki lightskin, nywele soft kama pamba
Kwa klabu anazitoka kuna venye alinibamba
Aliniita bestie, sikupata hata number
Ju kuna, ju kuna venye alinimada
Never before sikudhani naeza blunder
Ju sasa ni ma-memory mi nazipata
Nikifunga macho mi nacheki hizo mapaja
Hizi ni gani nilidhani mi mnyama
Basi cheza na mi, ah najua uko idhaa
Naeza kudigi fiti na nitacheza na gethaa
Haga amebeba biggy na mamorio wamezubaa
Nataka kuzitoka si unajua hakuna kukaa
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
Ju ata sijali ka kesho mi niko mboka
Nipige vida na machaji kuomoka
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Kale kadance miondoko toa topper
We nipe
Leo-leo, leo mi nataka kuzitoka
We nipe dance toa topper